Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
KadaMpinzani,

The guy is just out of whack clueless. I mean it is so absurd it's nauseating. US wangewezaje kumpa Visa nyingine ya kikazi kama tayari ana Permanent Resident Visa? Na Ubalozi umeulizwa wiki hii, kama wali mfutia Visa kwanini hamjamleta, wakasema hawagongi kila mlango wanatafuta illegal aliens. Kama ana Permanent Residence kwa nini ubalozi u insinuate kwamba Mzee alikuwa illegal?

So una deal na multi-dimensional problem here.

Kwanza, jamaa issue hazielewi elewi vizuri. Mtu lazima ujue kwamba ukipewa non-immigrant Visa basi huwezi kuwa na Immigrant Visa wakati huo huo.

Pili, jamaa source zake sio impeccable. Aliteleza jana akadhihirisha source zake. Madai ni kwamba habari za kifo cha Ballali hata kijana wa UCONN basketball hajui. Rationale yake ni kwamba dogo lazima angeambiwa na Wazungu wa Boston. Hizi ndio source zake jamani! Yule mtoto ambae alikutana na Rais kafunika uso na baseball hat unanambia anaheshimu au anajalali lolote kuhusu Siasa za Bongo yule wa kuchukua habari kwake unatuletea JF. You kidding me? Halafu sio mgeni kwa yule kijana mimi. The kid is just - well, a kid. Let's leave at that. Huwezi kuniletea mimi political analysis ya Bongo if the conduit of your information is a kid athlete who may actually need advice from Field Marshall himself.

Tatizo la tatu, na muhimu kuliko yote ni mass deception anayo i effect huyu mtu. I mean he garners cult-like adherence to whatever he dishes out. With the kind of rationale he exudes in these forums, I couldn't figure in a million years how he won his following. Absolutely amazing!

I mean huyu mtu kasema jana kwamba kwenye State ya Massachusetts unaweza kupata info za mgonjwa kwenye internet. Watu wanaishi Marekani hapa miaka enda rudi halafu kweli mtu anatamka kitu kama hicho unaendelea kum grant credibility? Such informational and analytical travesty? I mean you would think JF is predominantly of tech-savvy, socially conscious and informed members watakao google vitu kabla kuvibugia, hata kama you have no concept of 'patient confidentiallity' norms, which are almost unbreakable everywhere in America.

I'm done talking. I mean, duuh, vituko vimejaa humu!

...inasikitisha, lakini ukisema sana utaishia kuonekana adui!! ndio maana jana mie nikasema "nimezima fegi, mie jibwa koko malumbano siwezi."!!! hili ndio tatizo mojawapo kubwa sana linalotuangusha waTZ.......ujuaji, wakati hata ile baseline knowledge juu ya mambo inayumba!! ukisema ukweli unaonekana wewe namna gani na blah blah, ni sawa na yule mwingine kila siku anakuja hapa na hadithi zake za Nyerere utafikiri sisi hatukuishi wakati wa Nyerere...au sijui nini, mara nyingine ua nadhaniaga kuwa hawa jamaa ni mentally handicapped kiana flani!!! Gademu.

loooh, au bila kujua nimewasha moto chini ya mzinga wa nyuki???!! mtanisamehe, kwani nilikuwa sina taarifa hizo.......LOL
 
Hivi mbona watu mmekuwa obsessed na kubishana wenyewe kwa wenyewe . What is someone going to benefit by wiining an argument at JF ?

...huwezi kusema habari za wagonjwa zinapatikana kwenye internet, halafu utegemee watu wakae kimya!!! halafu ukiambiwa unakua mkali, ukiachiwa..badala ya kujirekebisha unakuja na nyuzi kuwa balali kafikia Madison, WS!!! ukiambiwa unakuwa mkali, ukiachiwa unakuja na nyingine mupya......lazima haka ka-cycle kakome!!
kama kweli tunausongo na TZ basi tabia ya kuoneana aibu, kuchekeana na kulindana lazima ikome kuanzia hapa hapa JF....sio watu wana-demand stds za juu toka kwa wengine, wakati wao wenyewe hawawezi kuishi kwa mifano!!

asante.
 
...inasikitisha, lakini ukisema sana utaishia kuonekana adui!! ndio maana jana mie nikasema "nimezima fegi, mie jibwa koko malumbano siwezi."!!! hili ndio tatizo mojawapo kubwa sana linalotuangusha waTZ.......ujuaji, wakati hata ile baseline knowledge juu ya mambo inayumba!! ukisema ukweli unaonekana wewe namna gani na blah blah, ni sawa na yule mwingine kila siku anakuja hapa na hadithi zake za Nyerere utafikiri sisi hatukuishi wakati wa Nyerere...au sijui nini, mara nyingine ua nadhaniaga kuwa hawa jamaa ni mentally handicapped kiana flani!!! Gademu.

loooh, au bila kujua nimewasha moto chini ya mzinga wa nyuki???!! mtanisamehe, kwani nilikuwa sina taarifa hizo.......LOL

nice try.. you are very emotional tudei! calm down.
 
Pamoja na "state ya Boston", hivi mtu unakaa unyamwezini miaka ishirini halafu unajiweka katika wachambuzi na bado una audacity ya kuja hadharani ku present issues huku ukisema "state ya Boston"?

Hili linanipa mashaka kuhusu mengine mengi tu.
 
Ebo!!! yani bado mnabishana tuuu? Ijumaa hii ebu mchill kidogo sasa kha!!!!!
YNIM, njoo ujumuike kwenye kusherekea ushindi wa Man U weka upinzani pembeni..Nina Jezi ya Man U ina jina lako imeandikwa Moscow 08.

Ila hii ligi ya huu ubishi wa wapi kifo cha Ballali kimetokea nimekoma nao, serikali wanadai kafia Boston, JF wanadai kafia nyumbani kwake Washington DC..kilikuwa kifo cha ghafla, dada wa marehemu walikwenda DC kumjulia hali....Tuamini nini sasa?
 
hapo sasa, tena bila kuona aibu na pengine kuomba ifutwe!! au yule anayesemaga Nyerere alikuwa Saint wakati tunajui..he was not!!
 
Jamani,
Naona mmezoea popcorn. mimi nina mapengo mwendo huo siuwezi, so leo karibuni filigisi aka gizzards (but not lizzards - if inglishi is noti richebo)
gizzards_dish_web.jpg
kwa mchuzi wa
guiness.jpg
kwa miondoko ya Mos Def - Sex, Love & Money.
 
Ebo!!! yani bado mnabishana tuuu? Ijumaa hii ebu mchill kidogo sasa kha!!!!!
YNIM, njoo ujumuike kwenye kusherekea ushindi wa Man U weka upinzani pembeni..Nina Jezi ya Man U ina jina lako imeandikwa Moscow 08.

Ila hii ligi ya huu ubishi wa wapi kifo cha Ballali kimetokea nimekoma nao, serikali wanadai kafia Boston, JF wanadai kafia nyumbani kwake Washington DC..kilikuwa kifo cha ghafla, dada wa marehemu walikwenda DC kumjulia hali....Tuamini nini sasa?

..tunawekana sawa tu!! lazima tabia ya kuoneana aibu, kuchekeana na kulindana ikome!! kama una pumbalize, basi utaambiwa tena bila aibu...kama unakuja na hizo one liner (MKJJ), "we mshkaji una emotions sana"!! mie sijali...binadamu yeyote wa kawaida lazima awe na emotions unless ana hitilafu!!.
 
Pamoja na "state ya Boston", hivi mtu unakaa unyamwezini miaka ishirini halafu unajiweka katika wachambuzi na bado una audacity ya kuja hadharani ku present issues huku ukisema "state ya Boston"?

Hili linanipa mashaka kuhusu mengine mengi tu.

Kama kuna mtu alisema haya ya State ya Boston, je ameomba msamaha?
 
..tunawekana sawa tu!! lazima tabia ya kuoneana aibu, kuchekeana na kulindana ikome!! kama una pumbalize, basi utaambiwa tena bila aibu...kama unakuja na hizo one liner (MKJJ), "we mshkaji una emotions sana"!! mie sijali...binadamu yeyote wa kawaida lazima awe na emotions unless ana hitilafu!!.

yeah.. lakini wengine emotions zao zinaongoza fikra zao na hivyo wanajikuta wanatawaliwa na emotions. Kitu kimoja kuhusu emotions ni kuwa wakati mwingine zinadanganya; mtu anayefuata emotions atajikuta kwenye matatizo mengi kwani hali halisi yaweza isiwe hivyo. Ndio maana unapojadili mambo mazito kama yanayohusu Tanzania lazima mtu alinde sana emotions na kuhakikisha haziingilii uchambuzi yakinifu wa hoja na ukweli. Ndio maana nimeshauri kuwa you need to "calm down" kwa kweli itakusaidia sana kujenga hoja.
 
Kama kuna mtu alisema haya ya State ya Boston, je ameomba msamaha?

..thubutu, aombe msamaha afe!!?? kadindisha kuwa, "nipo sahihi wala sijakosea chochote." hapo ndipo panapo kera zaidi..........watu lazima wawe accountable, ama sivyo we're doomed tena kuanzia hapa hapa JF!!. high stds kwa kila mtu na sio selected groups......alah.
 
Sasa haya yatakuwa mambo ya "We goofed" kama wale jamaa wa serikali.

Kukosea imo, lakini siyo misinformation kibao, misinformation is worse than no information! ( e.g Balali kafa state ya Wisconsin mara "state" ya Boston) yote hayo huku unajitutumua kuonekana unabreak news inayovunda tayari.

Kisa?

Kama angekuwa ripota na mimi editor kazi hana.
 
yeah.. lakini wengine emotions zao zinaongoza fikra zao na hivyo wanajikuta wanatawaliwa na emotions. Kitu kimoja kuhusu emotions ni kuwa wakati mwingine zinadanganya; mtu anayefuata emotions atajikuta kwenye matatizo mengi kwani hali halisi yaweza isiwe hivyo. Ndio maana unapojadili mambo mazito kama yanayohusu Tanzania lazima mtu alinde sana emotions na kuhakikisha haziingilii uchambuzi yakinifu wa hoja na ukweli. Ndio maana nimeshauri kuwa you need to "calm down" kwa kweli itakusaidia sana kujenga hoja.

hayo ni wazo yako binafsi.......kama kawaida, hizo ni politics tu!!
 
Ebo!!! yani bado mnabishana tuuu? Ijumaa hii ebu mchill kidogo sasa kha!!!!!
YNIM, njoo ujumuike kwenye kusherekea ushindi wa Man U weka upinzani pembeni..Nina Jezi ya Man U ina jina lako imeandikwa Moscow 08.

Ila hii ligi ya huu ubishi wa wapi kifo cha Ballali kimetokea nimekoma nao, serikali wanadai kafia Boston, JF wanadai kafia nyumbani kwake Washington DC..kilikuwa kifo cha ghafla, dada wa marehemu walikwenda DC kumjulia hali....Tuamini nini sasa?

Icadon,

Mnashangilia ushindi wa mvua na matuta?
 
hayo ni wazo yako binafsi.......kama kawaida, hizo ni politics tu!!

Humu naona kuna watu wanataka wakulishe sumu eti wewe ukubali tu!yaani ni hatari sana kuwa mtu wa ndiyo mzee hata kama kuna utata!Mtu unaweza ingizwa chaka hivi hivi!
 
Jamani,
Naona mmezoea popcorn. mimi nina mapengo mwendo huo siuwezi, so leo karibuni filigisi aka gizzards (but not lizzards - if inglishi is noti richebo) kwa miondoko ya Mos Def - Sex, Love & Money.

Para pap pa, pap papp paap papp paap pa paa Sex, Love Money...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom