Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
Field Marshall keshasema ni kifo cha ghafla

labda umeme ulikatika...najua jamaa mmoja(jewish) alivuta mwaka jana kidizaini ya hitlafu ya umeme akiwa kwenye life support nyumbani!!
 
Field Marshall kesha recover credibility?

Halafu burudani ni kwamba badala ya yeye na MKJJ kubishana kuhusu
credibility ya habari zao zinazokinzana...

Ni sisi tumebakia katikati tusijue kuwa kafa lini na wapi na nini kilichomuua!

Wao wakuu wawili wana habari mbili za kifo kimoja cha mtu huru aliyekuwa akiishi kama mtu huru aliyekufa akiwa huru na ambaye hakutaka kifo chake kijulikane kwa uhuru na watu huru kama yeye alivyokuwa huru kabla na baada ya uhuru wake wa kuishi kufikia ukingoni!
Sasa sisi hatuna lawama hapa
 
Field Marshall kesha recover credibility?

..bado kuna ile ya, "mji wa state ya Boston......informations za wagonjwa zinapatikana kwenye internet." nilipoisoma nilihisi matumbo yanakatika, if you know what i mean.
 
life support nyumbani inawezakana.........na hakuna sheria inayokataza bila exceptions!!! asante.

Thats a good answer to my question. Nasubiri majibu ya gharama ya kuikodi (as if.....).

Asante ES kwa taarifa kuwa hakuwa kwenye life support. Kinachonisumbua pia ni upungufu wa akili ya viongozi wetu. Wamezoea kudanganya watu na kutokana na hilo wanajaribu kui-melodramatize kifo cha huyu mwizi..oops! mheshimiwa, then what!! kwa faida ya nani?? Tumebaki na theories nyingi na hakuna majibu ya uhakika.

I pity his family and the legacy anayowaachia maana ukioa mtu toka kwenye ukoo ule utajulikana na ukoo wenye kasoro kadhaa wa kadhaa. What a bad legacy, na spin doctors wa kibongo are having their field day.

Poleni mliobaki
 
..bado kuna ile ya, "mji wa state ya Boston......informations za wagonjwa zinapatikana kwenye internet." nilipoisoma nilihisi matumbo yanakatika, if you know what i mean.

Listen. Kali kuliko zote ni aliposema yule dogo wa UCONN hajui huu msiba, lazima angeambiwa. Niliposoma nikasema, umesema nini? I don't believe FMarshall uttered those words!

Yani bado nacheka mpaka sasa hivi.

Can you imagine? I mean ha haaaaaaaa! This is nutso!
 
#333 21st May 2008, 04:10 PM
Field Marshall ES
JF Senior & Premium Member Join Date: Thu Apr 2006
Posts: 4,647
Rep Power: 32

Thanks: 4,335
Thanked 2,905 Times in 1,243 Posts
Credits: 223,951

Re: Ballali hatunaye!

--------------------------------------------------------------------------------

Wakuu mimi siamini kuwa Balali amekufa, kwa sababu:-

1. kwa wale msiojua ni kwamba katika mji wa State ya Boston, habari za wagonjwa kulazwa hospitali na wagonjwa kufariki wakiwa kwenye hospitali za State hiyo ni open to the public, yaani unaweza kwa kupitia internent kupata info za mgonjwa yoyote aliyelazwa au kufariki huko Boston,2. Boston, ina wakazi wengi sana wa kutoka bongo, ambao pia wengine wamebobea kwenye sekta ya Medicine kwenye hospital za huko na tunawafahamu kwa karibu, sasa haiwezekani kuwa wote hawajui kwamba Balali aliwahi kulazwa hospitali gani huko!
3. Haiwezekani Balali ambaye mpaka magazeti ya Boston, kama Globe ambayo yanajua kuwa huyu ni mtu of special interest kwa taifa letu na kwa waa-Afrika wengi wanaoishi Boston, afariki dunia wao wasijue kabisaa, lakini gazeti la Tanzania Daima, likajua that is a big joke!

4. Mke wa sasa Balali, ni dada wa mume wa dada wa mmiliki wa gazeti la Tanzania Daima, ambalo ndilo limekuwa la kwanza kusema hizi habari, now kweli this is just your usual another death annoucemment, au?

5. Ni kwa nini wa-Tanzania kwa maelfu wanaoshi Boston, hawajui Balali alipokuwa amelazwa au hata habari za msiba? Angalau hata the big star Hashimu, the basketballer angekuwa amejulishwa na wazungu somehow kuwa kuna mbongo mwenzio hospital amelazwa au amekufa, lakini hata yeye hajui na ni mwenyeji huko Boston!

Sasa kulikoni na hii habari? Naiona haijakaa sawa hii!

...........gross distortion of facts!!!! hospital itakayo thubutu, itafungwa sio tu na serikali ila hiyo mi-law suits!! wabongo Ma-MD Boston mmmmmmmmmmmh siri yangu....lakini haijatulia!!! no offense mkuu FMES...happy memorial day weekend.
 
Thats a good answer to my question. Nasubiri majibu ya gharama ya kuikodi (as if.....).
Asante ES kwa taarifa kuwa hakuwa kwenye life support. Kinachonisumbua pia ni upungufu wa akili ya viongozi wetu. Wamezoea kudanganya watu na kutokana na hilo wanajaribu kui-melodramatize kifo cha huyu mwizi..oops! mheshimiwa, then what!! kwa faida ya nani?? Tumebaki na theories nyingi na hakuna majibu ya uhakika.

I pity his family and the legacy anayowaachia maana ukioa mtu toka kwenye ukoo ule utajulikana na ukoo wenye kasoro kadhaa wa kadhaa. What a bad legacy, na spin doctors wa kibongo are having their field day.

Poleni mliobaki

insuarance wata-foot the bill..kwani kiukweli ni cheap hata kwao kwa mgonjwa kuwa home zaidi ya kuwa hospitali!!! hii utokea mara nyingi sana wagonjwa hasa wanao/waliolipwa mipesa ya ku-sue aidha ajali au medical malpractice....family uamua kutake care home(hata kama yupo kwenye life support) ili kusave ngawira!!! kwa ufupi its cheap....bluecross/blueshield watachekelea kama fisi akiona mfupa..simply hii itaokoa mipesa mingi kwao!!
 
Listen. Kali kuliko zote ni aliposema yule dogo wa UCONN hajui huu msiba, lazima angeambiwa. Niliposoma nikasema, umesema nini? I don't believe FMarshall uttered those words!

Yani bado nacheka mpaka sasa hivi.

Can you imagine? I mean ha haaaaaaaa! This is nutso!

huyu mtu kwanza yupo busy na safari yake ya Bongo....sometime in the next five dayz!!! habari hana....
 
...gross distortion of facts!!!! hospital itakayo thubutu, itafungwa sio tu na serikali ila hiyo mi-law suits!! wabongo Ma-MD Boston mmmmmmmmmmmh siri yangu....lakini haijatulia!!! no offense mkuu FMES...happy memorial day weekend.

I dont wanna pile on, or anything. Lakini tatizo ni kubwa kuliko FMES. Ni idadi ya watu wanaotegemea, wanao live and die na data za Mshikaji. People just gobble up whatever the man feeds them, no questions asked. And you come to find out the source is a college Kid got here a couple of years ago, and who doesn't even live in Boston.

I mean kama hujui kwamba University of Connecticut maybe - just may be - iko Connecticut, ngoja ni cheki, you probably can't figure out jack about the sources you get info from!

Duuuh!
 
insuarance wata-foot the bill..kwani kiukweli ni cheap hata kwao kwa mgonjwa kuwa home zaidi ya kuwa hospitali!!! hii utokea mara nyingi sana wagonjwa hasa wanao/waliolipwa mipesa ya ku-sue aidha ajali au medical malpractice....family uamua kutake care home(hata kama yupo kwenye life support) ili kusave ngawira!!! kwa ufupi its cheap....bluecross/blueshield watachekelea kama fisi akiona mfupa..simply hii itaokoa mipesa mingi kwao!!

Halafu serikali ndio iliyokuwa ikimlipia gharama za matibabu..Sasa ndio kweli gharama ziliangaliwa hapo?
Serikali ilikuwa ikimwandikia nani hizo cheki? Je walikuwa wakitoa hizo pesa za matibabu kwa
Ballali binafsi ama insurance company ama direct to the Pivate doctor/hospital?
 
Transactions za malipo ya matibabu ambayo serikali iilkuwa ikimlipia kwa mujibu wa Dr Slaa
 
huyu mtu kwanza yupo busy na safari yake ya Bongo....sometime in the next five dayz!!! habari hana....

Hawezi kuwa na data yule mtoto anyway. I dont know what you think of the kid, but my opinion of him aint so favorable, with his public antics and all. Muungwana kampa audience (Muungwana nae hana ishu za kufanya tena), dogo akaenda ki hip hop hip hop, with a baseball hat covering his face. He doesn't give a rat's a##.

Can't be serious, that kid ain't!
 
I dont wanna pile on, or anything. Lakini tatizo ni kubwa kuliko FMES. Ni idadi ya watu wanaotegemea, wanao live and die na data za Mshikaji. People just gobble up whatever the man feeds them, no questions asked. And you come to find out the source is a college Kid got here a couple of years ago, and who doesn't even live in Boston.

I mean kama hujui kwamba University of Connecticut maybe - just may be - iko Connecticut, ngoja ni cheki, you probably can't figure out jack about the sources you get info from!

Duuuh!

...nadhani tatizo ni ile dhana ya 'kulengesha', utamaduni wa kubahatisha na kutoku-pay a good attention ya details!! kumbuka pia kwamba muungwana huyu kakaa NYC, kwani kizembezembe unaweza kusema a good part of CT ni 'burb ya NYC (naongelea Ma-Greenwich...huko southern CT...so inakuwaje unapitwa kiurahisi namna hii!!?? anyway..kama unavyosema isije ikanaonekana tuna-pile up!! again Mkuu FMES no offense, salute kamanda wangu manyota!!
 
Halafu serikali ndio iliyokuwa ikimlipia gharama za matibabu..Sasa ndio kweli gharama ziliangaliwa hapo?
Serikali ilikuwa ikimwandikia nani hizo cheki? Je walikuwa wakitoa hizo pesa za matibabu kwa
Ballali binafsi ama insurance company ama direct to the Pivate doctor/hospital?

polepole JM1 nilikuwa najibu swali la Bimkulukulu....usiniingize korongoni!! mie sijui bill ya hospitali ya Balali inalipwaje!!
 
Nimesema na ninazisimamia dataz zangu, kuwa Marehemu Balali, alikwenda US akiwa anaumwa akalazwa hospitali na hatimaye kupona kabisaa alitoka hospitali mwezi wa pili, since then hajaumwa tena mpaka majuzi alipofariki ghafla,

Na ninarudia tena kuwa waliokuwa na interest kubwa against Marehemu, ni awamu ya tatu, looking forward kuchambua facts I mean mnyonge mnyongeni lakini ukweli uwekwe wazi! Na hatuna uoga kwenye hili, hakukuwa na life support sio ukweli, hizi ni hadithi zinazorushwa na watu wasiokuwa wema, mchukie mtu kwa sababu lakini akitangulia kwenye haki imetosha muache!

ES ! plz naomba usibishe kwa hili ! alikuwa kwenye life support ! na hakuna anayemtakia mtu mwingine umauti !

Na pia si kweli kwamba awamu hii ya tatu ndiyo iliyomchukia ballali ! WHY ? because kabla ya mambo ya ufisadi, can you proove kwamba alichukiwa na awamu ya tatu ?
sema waliofichua ufisadi (nawapa kudos) ndio walimuweka ballali kwenye situation ya kufanya kitu ambacho pengine wengine wasingependa ili kulinda maslahi yao ! Naomba nipinge hoja yako inayosema kwamba alichukiwa na awamu ya tatu !

also, napinga unaposema kwamba "tunaosema" alikuwa kwenye life support tunamtakia mabaya, ni kweli alikuwa kwenye life support na hiyo haina doubt !
Mimi sio mmoja wa hao watu makini ambao wanasema wana dataz, lakini kwenye hili la ballali NI KWELI ALIKUWA KWENYE LIFE SUPPORT NA NINAJUA, KAMA UNAVJUA VINGINEVYO ITAKUWA VIZURI KAMA UTATUELEZA !
 
Habari hii hapo chini ime confirm mambo kadhaa na pia kubakisha baadhi ya maswali yafuatayo:

1)Ballali alishaamua kuwachukia watanzania kama vile walivyoamua kumchukia.
2)Hakutaka kujisafisha licha ya kwamba alikuwa na nafasi hiyo badala yake akachagua kususa kwa visingizio ili kuonekana ameonewa.
3)Alikuwa akifanya shughuli na shirika la fedha duniani kwa miaka 23 hivyo ni mtu kubwa mwenye connection kubwa kuliko tunavyoweza kufikiri!
4)Na baada ya hapo akaletwa Tanzania na inaonyesha alikuwa kama expert kutoka nje na si mtz
5)Ballali aliamua kuwa betray wananchi kama vile anavyofikiri na sisi tuli mbetray!
6)Alijua kuwa hatarudi halafu then akaumwa?
7)Alisema kuwa hatarudi hata kama ni mzima ama amekufa...Hivyo basi kama muda wa kumhitaji ulifika halafu akafa ghafla...Ni kwasababu ya presha,ama alijiua ili asirudishwe,ama amefake kifo!
8)Aliwaaminisha watu kuwa hatapona..atakufa na hawataonana hata kabla hajaanza kuumwa!

Alijua haponi!

2008-05-22 16:24:05
Na Mwandishi wetu, Jijini

Wakati Watanzania wakiwa bado kwenye mshtuko wa kifo cha utata cha aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, BoT, Dk. Daud Balali, imebainika kuwa marehemu alishajua kitambo kuwa kutokana na mazingira yaliyomzunguka, kamwe asingeweza kupona.

Habari ambazo Alasiri imeweza kuzipata toka kwa chanzo chetu nchini Marekani na pia kwa baadhi ya jamaa wa karibu wa marehemu walioko nchini, zimeeleza kuwa marehemu alishajua hata kabla ya kuondoka nchini na kwenda kutibiwa Marekani kuwa asingeweza kupona.

Wakasema kabla ya kuondoka, marehemu aliwaaga baadhi ya ndugu kwa namna ambayo iliashiria wazi jambo hilo, kuwa alishahisi haponi.

Wakaeleza kuwa ugonjwa uliokuwa ukimkabili, kutojua kwake kuwa nani ni adui na nani ni rafiki wa kweli, ni baadhi ya mambo aliyoonekana wazi kuwa yalikuwa yakimsonga na kumfanya awe katika hali ya kumfanya ahisi kuwa haponi.

Aidha, tuhuma nyingi zilizokuwa zikielekezwa kwake, na ambazo kwa bahati mbaya hakuwahi kupata nafasi ya kuweza kuzijibu, ni sababu nyingine wanazosema zilimfanya awe katika hali ya kukata tamaa.

Chanzo kilichopo Marekani kimesema, kabla ya kufikwa na umauti, marehemu alikuwa akilalama kila wakati kuwa kutokana na yote yaliyomzunguka, kamwe asingeweza kupona na wala hana haja ya kupona kwa sababu alishachafuliwa kiasi cha kutosha.

Kikasema chanzo hicho kuwa marehemu aliacha wosia, akisema kuwa dunia haina haki na hivyo imemhukumu mapema.

Kikasema chanzo hicho kuwa marehemu akawaambia wakati akienda Marekani kuwa `harudi tena Bongo, awe hai ama amekufa`.

Kikasema chanzo hicho kuwa Dk. Balali aliamini kuwa siku zote alikuwa msafi na mchapa kazi mzuri, lakini tuhuma zilizokuwa zikielekezwa kwake hazikuwa na uwiano mzuri wa kumtendea haki.

Imeelezwa kuwa Dk. Balali alifariki Ijumaa ya wiki iliyopita mjini Boston huko Marekani.

Hata hivyo, kifo cha Dk. Ballali kimezua utata hasa baada ya Serikali kutothibitisha mapema, huku baadhi ya ofisi zikiwa zinarushiana mpira juu ya jukumu la kueleza msiba huo.

Baada ya jana waandishi wa habari kuhaha katika kusaka uthibitisho wa taarifa hizo, hatimaye ikathibitishwa jioni na Afisa Uhusiano wa BoT, Bw. Emmanuel Mwero huku kukiwa hakuna fursa yoyote kwa waandishi kuuliza maswali.

Kabla ya kuteuliwa kuwa gavana wa Benki Kuu mwaka 1998, marehemu Dk. Balali aliwahi kulitumikia Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, kwa miaka 23.

Baadaye, Dk. Balali akarejea nchini na kuteuliwa na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Benjamin Mkapa, kuwa mshauri wake wa masuala ya uchumi.

Mwezi Julai mwaka 1998, Dk. Balali akateuliwa tena na Rais Mkapa kuwa Gavana wa Benki Kuu nchini, BOT.

Hata hivyo, Januari mwaka huu, Rais Jakaya Kikwete, alisitisha uteuzi wa Balali katika nafasi ya gavana na kumteua, Prof. Benno Ndullu, kushika nafasi hiyo.
Hatua hiyo ya Rais Kikwete ilitokana na taarifa za uchunguzi uliofanywa ndani ya BOT na Kampuni ya Ukaguzi ya Kimataifa ya Ernst & Young kubaini upotevu wa Sh. Bilioni 133 zilizolipwa isivyo halali kwa makampuni 22, kupitia akaunti ya malipo ya madeni ya nje, EPA.

Tangu taarifa hizo za upotevu wa mabilioni ya walipa kodi yaliyochotwa kifisadi na makampuni 22, marehemu Balali akawa gumzo, hasa kutokana na ukweli kuwa wakati hayo yakitendeka, yeye ndiye aliyekuwa kinara wa BOT.
  • SOURCE: Alasiri
 
And you come to find out the source is a college Kid got here a couple of years ago, and who doesn't even live in Boston.

Mkuu haya huyajui kabisaa, the kid anasoma CT, lakini huishi kwa kimwana Boston, tunaweza hata kukutajia jina na address, hatujawahi kubahatisha hata siku moja, ninarudia kuwa katika kutafuta dataz huwa tunagusa kila mahali,

Mkuu inapokuja kwenye ukweli wa ishus, bado huna dataz sasa kubali yaishe kuliko kujaribu kulazimisha ishu na the kid, ambaye kuna tunao ongea naye karibu kila siku, kuuliza dataz ni one thing na kutafunwa na wivu ni another thing, kila unapojaribu huwezi, umelilia search warrant ukaambiwa ni kweli Chenge alipekuliwa, sasa unalilia the kid lakini dataz za kifo cha Blalli huna!

Mkuu YRS, angalia ndugu yangu wewe najua ni kichwa siwezi kukuweka kundi moja na huyu mzee wa logic za chooni, ninarudia kuwa kama ni the kid naye pia hamna dataz, kifo nacho huna dataz, dawa ni kunyamaza tu bro ulishwe dataz hapa, ndio maana upo hapa 24 hours, vipi huna kazi bro?
 
Mkuu Mtanzania,

Sina sababu yoyote ya kuwayumbisha wananchi hapa, kwa sababu sijawahi hata siku moja sijawahi kuwayumbisha hapa wananchi an dataz zisizokuwa na ukweli, sasa mkuu wangu kama as far as this ishu ya kifo, niarudia kuwa ni kweli amefariki Jumapili usiku tena ghafla bila ya kutegmewa na atazikwa kesho kwenye hayo makaburi niliyoyasema.

Mkuu Kuhani,

Sijakuelewa ulichosema, kwenye ujumbe wangu wa jana nilisema kuwa hoja ya msingi niliyoiweka ilikuwa kwamba Balali hajafariki, na kwamba hakufariki Boston, na nikaweka all the reasons kwa nini ninaamini hivyo, na sasa imethibitishwa kuwa maneno yangu yalikuwa kweli kuwa hakufariki Boston, na wala hakuwa amelazwa kwenye Hospitali yoyote ya Boston,

Sasa hapa ni lazima niweke wazi kuwa wewe akili zako sio sawa mkuu kwa sababu unachotafuta ni cheap umaarufu, lakini hapa JF nafikiri unapaswa kuelewa kuwa unaanza kuchekesha, kwa sababu hoja huna, dataz huna, ukweli huna, facts huna, unajua watu wa aina yako huwa wana vichwa vikubwa sana lakini ndani hewa tupu, wewe kilichokuleta hapa JF ni agenda ya CUF, ukaamini kuwa watu hapa ni wajinga sana utawa-divide and rule, sasa unaona kila unachojaribu hakifanikiwi,

Wamekutuma uje hapa ujaribu kumuweka Salim vizuri ili labda agombee na CUF ambayo ndio the agenda hapa tuko macho na imar sana, sasa unaendelea kuhangaika hangaika, wewe ni mdini wa kiisilamu na unapenda sana waarabu, niasema hivi kuwaamusha wale ambao hawajakushitukia kuwa huna nia njema na hii forum, na ninakuhakikishia kuwa tutakukabili ipasavyo tena kwa lugha na vitendo unavyoonekana kuvielewa vizuri zaidi, hao waarabu waliokutuma waambie kuwa tupo macho mkuu!

JF mbele Zaidi!

ijumaa ishaanza ? namtafuta brazameni aje pamoja na injinia moh'd !

duh commercial break jamani,yameshasemwa mengi.ameshatangulia mbele ya haki.tuwe na busara na hekima,alotufanyia wa-tz kama ni kweli TUMSAHEHENI jamaa ingawa hajatuomba radhi.mie binafsi kama kweli al-marhum ametufanyia ufisadi BASI NAPENDA KUTAMKA RASMI NIMEMSAMEHE DUNIANI NA AKHERA.

Mzee ES,KADA MPINZANI,KUHANI MKUU,JMUSHI,MKJJ,INVISIBLE,MWAFRIKA WA KIKE and all JF members TUMPE MSAMAHA WETU M-TZ MWENZETU na TUMUOMBEE KWA MOLA AMSAMEHE.
 
Habari hii hapo chini ime confirm mambo kadhaa na pia kubakisha baadhi ya maswali yafuatayo:

1)Ballali alishaamua kuwachukia watanzania kama vile walivyoamua kumchukia.
2)Hakutaka kujisafisha licha ya kwamba alikuwa na nafasi hiyo badala yake akachagua kususa kwa visingizio ili kuonekana ameonewa.
3)Alikuwa akifanya shughuli na shirika la fedha duniani kwa miaka 23 hivyo ni mtu kubwa mwenye connection kubwa kuliko tunavyoweza kufikiri!
4)Na baada ya hapo akaletwa Tanzania na inaonyesha alikuwa kama expert kutoka nje na si mtz
5)Ballali aliamua kuwa betray wananchi kama vile anavyofikiri na sisi tuli mbetray!
6)Alijua kuwa hatarudi halafu then akaumwa?
7)Alisema kuwa hatarudi hata kama ni mzima ama amekufa...Hivyo basi kama muda wa kumhitaji ulifika halafu akafa ghafla...Ni kwasababu ya presha,ama alijiua ili asirudishwe,ama amefake kifo!
8)Aliwaaminisha watu kuwa hatapona..atakufa na hawataonana hata kabla hajaanza kuumwa!

Alijua haponi!

2008-05-22 16:24:05
Na Mwandishi wetu, Jijini

Wakati Watanzania wakiwa bado kwenye mshtuko wa kifo cha utata cha aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, BoT, Dk. Daud Balali, imebainika kuwa marehemu alishajua kitambo kuwa kutokana na mazingira yaliyomzunguka, kamwe asingeweza kupona.

Habari ambazo Alasiri imeweza kuzipata toka kwa chanzo chetu nchini Marekani na pia kwa baadhi ya jamaa wa karibu wa marehemu walioko nchini, zimeeleza kuwa marehemu alishajua hata kabla ya kuondoka nchini na kwenda kutibiwa Marekani kuwa asingeweza kupona.

Wakasema kabla ya kuondoka, marehemu aliwaaga baadhi ya ndugu kwa namna ambayo iliashiria wazi jambo hilo, kuwa alishahisi haponi.

Wakaeleza kuwa ugonjwa uliokuwa ukimkabili, kutojua kwake kuwa nani ni adui na nani ni rafiki wa kweli, ni baadhi ya mambo aliyoonekana wazi kuwa yalikuwa yakimsonga na kumfanya awe katika hali ya kumfanya ahisi kuwa haponi.

Aidha, tuhuma nyingi zilizokuwa zikielekezwa kwake, na ambazo kwa bahati mbaya hakuwahi kupata nafasi ya kuweza kuzijibu, ni sababu nyingine wanazosema zilimfanya awe katika hali ya kukata tamaa.

Chanzo kilichopo Marekani kimesema, kabla ya kufikwa na umauti, marehemu alikuwa akilalama kila wakati kuwa kutokana na yote yaliyomzunguka, kamwe asingeweza kupona na wala hana haja ya kupona kwa sababu alishachafuliwa kiasi cha kutosha.

Kikasema chanzo hicho kuwa marehemu aliacha wosia, akisema kuwa dunia haina haki na hivyo imemhukumu mapema.

Kikasema chanzo hicho kuwa marehemu akawaambia wakati akienda Marekani kuwa `harudi tena Bongo, awe hai ama amekufa`.

Kikasema chanzo hicho kuwa Dk. Balali aliamini kuwa siku zote alikuwa msafi na mchapa kazi mzuri, lakini tuhuma zilizokuwa zikielekezwa kwake hazikuwa na uwiano mzuri wa kumtendea haki.

Imeelezwa kuwa Dk. Balali alifariki Ijumaa ya wiki iliyopita mjini Boston huko Marekani.

Hata hivyo, kifo cha Dk. Ballali kimezua utata hasa baada ya Serikali kutothibitisha mapema, huku baadhi ya ofisi zikiwa zinarushiana mpira juu ya jukumu la kueleza msiba huo.

Baada ya jana waandishi wa habari kuhaha katika kusaka uthibitisho wa taarifa hizo, hatimaye ikathibitishwa jioni na Afisa Uhusiano wa BoT, Bw. Emmanuel Mwero huku kukiwa hakuna fursa yoyote kwa waandishi kuuliza maswali.

Kabla ya kuteuliwa kuwa gavana wa Benki Kuu mwaka 1998, marehemu Dk. Balali aliwahi kulitumikia Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, kwa miaka 23.

Baadaye, Dk. Balali akarejea nchini na kuteuliwa na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Benjamin Mkapa, kuwa mshauri wake wa masuala ya uchumi.

Mwezi Julai mwaka 1998, Dk. Balali akateuliwa tena na Rais Mkapa kuwa Gavana wa Benki Kuu nchini, BOT.

Hata hivyo, Januari mwaka huu, Rais Jakaya Kikwete, alisitisha uteuzi wa Balali katika nafasi ya gavana na kumteua, Prof. Benno Ndullu, kushika nafasi hiyo.
Hatua hiyo ya Rais Kikwete ilitokana na taarifa za uchunguzi uliofanywa ndani ya BOT na Kampuni ya Ukaguzi ya Kimataifa ya Ernst & Young kubaini upotevu wa Sh. Bilioni 133 zilizolipwa isivyo halali kwa makampuni 22, kupitia akaunti ya malipo ya madeni ya nje, EPA.

Tangu taarifa hizo za upotevu wa mabilioni ya walipa kodi yaliyochotwa kifisadi na makampuni 22, marehemu Balali akawa gumzo, hasa kutokana na ukweli kuwa wakati hayo yakitendeka, yeye ndiye aliyekuwa kinara wa BOT.
  • SOURCE: Alasiri

Habari hiyo hapo pia inamatch na story ya MKJJ ya kuwa Ballali alikufa tarehe 16 siku ya ijumaa!
 
Kwanini Ballali alitaka kutuaminisha kuwa hatapona badala ya kuuweka wazi ukweli ili akifa afe huku tukimwita ni shujaa wetu?
Je hapo kwenye kuwekewa sumu ndio penye msingi wa conspiracy theory kwenye political ground ili tusijue nani wa kumlaumu kati ya serikali na Ballali?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom