Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
jmushi1,
Mbona haumulizii invisible, hawa jamaa wanafanya zile mbio za vijiti, unazifahamu? mmoja akipumzika anakamata mwingine, sasa ni zamu ya Mwkjj, akienda kula mara utamuona Invisible kaibuka , jmushi1,hadi tutachemsha, ni lazima washinde, wao ndiyo wanazijua habari hizi kwa kina, ila tunaomba kama watafanikiwa kupata picha za babayetu Balali wakati akizikwa itatutia faraja sisi tulio mbingu ya saba.

Ni ether conflicts of interest kugombea habari..Ama kuficha something na for manipulation purposes!
Vyote vinawezekana na tutajua tu!
Hapa mpaka kieleweke!
Na ndio maana nikamuasa MKJJ kuwa asitake sides mpaka hapo atakapoweza kutupa hizo siri wanazodai kuwanazo!
 
Balali amekufa jamani...

wapinzani wa ccm msitumie hili kujipatia umaarufu usiokuwa na msingi.
 
Halafu Mungu mkubwa JF haikuuzwa kama ilivyokuwa nia ya awali ya mafisadi kutaka kuutumia mtandao huu wenye nguvu kuifuta soo yao!
Wale wote(owners) walioweka msimamo wa uhuru kutokuuzwa wakati wa kuuzwa kwa chombo hiki wana nafasi kubwa kwenye historia ya nchi yetu!
 
Mushi hivi wewe unachotaka hapa ni kipi?
Na umefanya nini kukipata? Mbona hueleweki hasa unachotafuta?
 
...ndoa hata kama imefungwa Mkuranga, mkienda US ni ndoa kisheria za huko mkuu, sijawahi kuskia kuwa watu walioko kwenye ndoa iliyofungwa nje ya US hwathaminiwi kisheria za huko eti kwa sababu walifungia ndoa nje ya US, mkuu unapaswa kuelewa better than this, damn!

FMES,

Controlling law ni ile ya mahala mnapoishi/mlipo fia, sawa? Sasa kwa nini uli introduce idea ya mahala walipo fungia ndoa? Hiyo factor ni moot point kwa sababu haijalishi mmefungia ndoa wapi.

Ndo maana nikasema uchambuzi wa tofauti za Sheria za ndoa baina ya Tanzania, US, na Mlipo oana hapa haihusiki. Ni maamuzi ya Familia.

Juu ya hapo, kukuonyesha ulivyo kuwa wrong mara dufu, nikaongeza layer nyingine on top of pingamizi langu la msingi, kwamba hata nikikupa benefit of assumption, considering things in light most favorable to your argument, you could not possibly be right. Nikasema kama kuoana majuu kunahusika -ambayo nimesema mwanzo haihusiki - basi the fact kwamba hawakuona 'majuu hii', nayo basi ina matter. Kwa sababu hoja yako si ni kwamba mahali mlipo oana pana matter? Do you get me? Kwamba hata US waliko fia, nako tutaweza kusema kwamba, well, hawakuoana majuu hii!

Mwisho, usilete hoja ya tofauti za sheria za ndoa halafu ikipingwa unachomoa, eti anzisha thread nyingine. Wewe ndio ume introduce idea, eti oooh, hawa watu wame oana majuu, na majuu sheria zina favor wanawake (kwenye maamuzi ya misiba/mazishi, that is). Implication ni kwamba ingekuwa wameoana Tanzania, basi Serikali ingeshurutisha Msiba uende inavyo taka. Nika kwambia wrong! Halafu unawaka waka kama Said Mwema anavyo ogopa kukosolewa na JF. You should man up and deal with criticism!

Ndio maana nika ku call out ulivyo pretend kusema eti oooh, turekebishane. Please, can't pull wool over people's eyes here. Not over mine anyway.
 
jmushi1
Jamaa wanakuona nuksi, kila wakiruka kule unao,Daaa!!!!!, Mkuu ni lazima kieleweke, Mwkjj toa chochote jmushi1 auchune mkuu,bila hivyo jmushi1 atawatoa nishai, sisi tuko pembeni, yetu macho, na kwa kuwa tuko mbingu ya saba.

Tego kama kaulimbo, kamewanasa weengi.
Zogo piaa vikumbo, mithiri vijibepari
amini hizo za tumbo,tabainika ukweli
Mola bainisha haya tusiumizane vichwa
 
Hivi huyu ni Mushi aliyekuja na data za uongo jana kuhusu watu aliowaita kuwa wana uhusiano na Balali?
 
Hivi huyu ni Mushi aliyekuja na data za uongo jana kuhusu watu aliowaita kuwa wana uhusiano na Balali?
Mbona na wengine walikuja na ya kusema balali kafia Georgetown mara boston mara washington DC basi tu!hadi sasa mimi sijaona ukweli uko wapi
 
Mbona na wengine walikuja na ya kusema balali kafia Georgetown mara boston mara washington DC basi tu!hadi sasa mimi sijaona ukweli uko wapi

Unaweza kuwauliza hao waliosema Boston kabla hawajasema DC hili swali.

Wapinzani mnajaribu kutafuta umaarufu kwenye kifo cha Balali na kutaka kuihusisha CCM kwenye hili. Hamtafanikiwa kwani Balali amekufa na hakuna yeyote ambaye anaweza kuzuia kifo.

Kama kuna mtu ambaye anajua kuwa ataishi milelel aseme hapa. Kujaribu kusema kuwa CCM inahusika hapa ni makosa. Kwani kuna kosa gani kwa mtu kuamini kuwa Balali amekufa?
 
FMES,

Controlling law ni ile ya mahala mnapoishi/mlipo fia, sawa? Sasa kwa nini uli introduce idea ya mahala walipo fungia ndoa? Hiyo factor ni moot point kwa sababu haijalishi mmefungia ndoa wapi.

Ndo maana nikasema uchambuzi wa tofauti za Sheria za ndoa baina ya Tanzania, US, na Mlipo oana hapa haihusiki. Ni maamuzi ya Familia.

Juu ya hapo, kukuonyesha ulivyo kuwa wrong mara dufu, nikaongeza layer nyingine on top of pingamizi langu la msingi, kwamba hata nikikupa benefit of assumption, considering things in light most favorable to your argument, you could not possibly be right. Nikasema kama kuoana majuu kunahusika -ambayo nimesema mwanzo haihusiki - basi the fact kwamba hawakuona 'majuu hii', nayo basi ina matter. Kwa sababu hoja yako si ni kwamba mahali mlipo oana pana matter? Do you get me? Kwamba hata US waliko fia, nako tutaweza kusema kwamba, well, hawakuoana majuu hii!

Mwisho, usilete hoja ya tofauti za sheria za ndoa halafu ikipingwa unachomoa, eti anzisha thread nyingine. Wewe ndio ume introduce idea, eti oooh, hawa watu wame oana majuu, na majuu sheria zina favor wanawake (kwenye maamuzi ya misiba/mazishi, that is). Implication ni kwamba ingekuwa wameoana Tanzania, basi Serikali ingeshurutisha Msiba uende inavyo taka. Nika kwambia wrong! Halafu unawaka waka kama Said Mwema anavyo ogopa kukosolewa. You should Man up and deal with criticism!

Ndio maana nika ku call out ulivyo pretend kusema eti oooh, turekebishane. Please, can't pull wool over people's eye's here. Not mine anyway.

Best,

unajua kuwa kuna wale wanaosemaga, "ule mtihani nimepiga msonge wa nguvu...." matokeo ya kija ana bonge la "hypo" na mara nyingine kazunguka "msamvu" hata kuonyesha hataki!!! mambo mengine kaa kimya tu mazee.......hapa watu wengi ni above average, na mabandiko hayafutiki...kila mtu kwa sasa keshajua, upi mchele kitumbo na upi mdundiko!! movie hii ina ma-starring wa kihindi wengi tena amatuers!!. eazy now.........LOL
 
Eh!!! Jamani chill pill muhimu sasa Ballali ameshazikwa/chomwa moto...msitoane macho bure.
Hizi sheria za ndoa mimi zimenipita pembeni, kwa hiyo nikifunga ndoa kwetu Kimanzichana nikienda US sina haja ya kuapply mambo ya license ili itambulikwe kwenye state nitakayoishi?

Otherwise weekend njema, kwa wafiwa poleni namnkuu JK "Ni Kazi ya Mungu"
 
Asante Icadon,

Watu wanataka kupata umaarufu wa kisiasa hapa bila sababu yoyote. Kutaka tu kuichafua CCM hata pale isipohusika. balali amekufa na amezikwa. Sasa wale wanaopiga makelele hapa wamtafute na kumleta kama hawaamini kuwa tayari amekufa.
 
Unaweza kuwauliza hao waliosema Boston kabla hawajasema DC hili swali.

Wapinzani mnajaribu kutafuta umaarufu kwenye kifo cha Balali na kutaka kuihusisha CCM kwenye hili. Hamtafanikiwa kwani Balali amekufa na hakuna yeyote ambaye anaweza kuzuia kifo.

Kama kuna mtu ambaye anajua kuwa ataishi milelel aseme hapa. Kujaribu kusema kuwa CCM inahusika hapa ni makosa. Kwani kuna kosa gani kwa mtu kuamini kuwa Balali amekufa?

Masaka, nafikiri unakosea ku-generalize kwamba watu wote waliomo humu JF ni wanasiasa, especially unaposema kwamba ni "wapinzani". Nafikiri inabidi ubadilishe mtazamo wako katika hili, kwa sababu you are FLAT WRONG!!!!! Kwa maneno yako imeshatuonyesha kwamba wewe uko upande gani kisiasa.

Unauliza kwamba kwani kuona kosa gani mtu kuamini kuwa Balali amekufa... Na mi nakutupia swali--- Je kuna kosa gani kwa mtu kutokuamini kwamba Balali amekufa?
 
Masaka, nafikiri unakosea ku-generalize kwamba watu wote waliomo humu JF ni wanasiasa, especially "wapinzani". Nafikiri inabidi ubadilishe mtazamo wako katika hili, kwa sababu you are FLAT WRONG!!!!! Kwa maneno yako imeshatuonyesha kwamba wewe uko upande gani kisiasa.

Unauliza kwamba kwani kuona kosa gani mtu kuamini kuwa Balali amekufa... Na mi nakutupia swali--- Je kuna kosa gani kwa mtu kutokuamini kwamba Balali amekufa?

Hakuna kosa kutokuamini kwamba Balali amekufa kama vile hakuna kosa kuamini kuwa amekufa. Kwa nini basi wale wanaomini kuwa Balali amekufa wahesabiwe kama wasaliti wa taifa?
 
Unaweza kuwauliza hao waliosema Boston kabla hawajasema DC hili swali.

Wapinzani mnajaribu kutafuta umaarufu kwenye kifo cha Balali na kutaka kuihusisha CCM kwenye hili. Hamtafanikiwa kwani Balali amekufa na hakuna yeyote ambaye anaweza kuzuia kifo.

Kama kuna mtu ambaye anajua kuwa ataishi milelel aseme hapa. Kujaribu kusema kuwa CCM inahusika hapa ni makosa. Kwani kuna kosa gani kwa mtu kuamini kuwa Balali amekufa?

haina haja ya kuwauliza,ina maana walileta habari zisizo za kweli wao wakiamini ni kweli.Sasa wewe na mlolongo wote huu ni rahisi kweli kuamini?kufa kupo hiyo sikatai;lakini katika kifo hiki kuna bla bla nyingi sana.Nani kasema CCM inahusika?Hivi kweli chama kama chama kihusike katika kusababisha kifo cha mtu?tatizo siyo CCM ila ni binadamu.
 
Halafu eti ghafla baada ya mazishi CCM nao sasa wanajitokeza kusema tugange yajayo!?
 
Sasa haya maswali mnapoyauliza hapa kwenye mtandao mnategemea nani awajibu. Kama kweli kuna maswali kwa nini wasiulizwe hao mnaofikiri kuwa wamehusika.

Mimi siamini kuwa CCM wamemuua Balali, yeye amekufa kama vile binadamu wote hapa tutakavyokua siku moja. Kuanza kuleta habari za uongo kama Mushi alizoleta hapa jana kuwa Balali amebadilisha majina na kuanza kuwasiliana na watu wengine ni uzushi usioweza kuvumiliwa.
 
Halafu eti ghafla baada ya mazishi CCM nao sasa wanajitokeza kusema tugange yajayo!?

Sasa unategemea ccm wafanye nini? Waanze kupinga kuwa Balali hajafa na kuuliza maswali kama yako ambayo ni wewe tu ndio unaweza kuyajibu?
 
Na kwa wale wanaojidanganya kuwa FBI hawatakuja kutoa taarifa za ukweli siku moja..Then waendelee na ndoto zao!
Unless ni kweli amekufa!Na ukweli wa mazingira ya kifo kuwekwa bayana!
Narudia...Ni bora watoe ushirikiano ili tumwache Ballali alale pema peponi kama wanavyotaka!
 
Sasa unategemea ccm wafanye nini? Waanze kupinga kuwa Balali hajafa na kuuliza maswali kama yako ambayo ni wewe tu ndio unaweza kuyajibu?

Maswali ninayouliza ni yale anayoulizwa na watanzania wazalendo wa kweli na si vinginevyo!
Na ndio maana unasema ni magumu!
Ni maswali yatakayoweza kujibiwa na wale wenye mtizamo wa kizalendo!
Nje ya hapo ni nyota nyota tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom