FMES,
Controlling law ni ile ya mahala mnapoishi/mlipo fia, sawa? Sasa kwa nini uli introduce idea ya mahala walipo fungia ndoa? Hiyo factor ni moot point kwa sababu haijalishi mmefungia ndoa wapi.
Ndo maana nikasema uchambuzi wa tofauti za Sheria za ndoa baina ya Tanzania, US, na Mlipo oana hapa haihusiki. Ni maamuzi ya Familia.
Juu ya hapo, kukuonyesha ulivyo kuwa wrong mara dufu, nikaongeza layer nyingine on top of pingamizi langu la msingi, kwamba hata nikikupa benefit of assumption, considering things in light most favorable to your argument, you could not possibly be right. Nikasema kama kuoana majuu kunahusika -ambayo nimesema mwanzo haihusiki - basi the fact kwamba hawakuona 'majuu hii', nayo basi ina matter. Kwa sababu hoja yako si ni kwamba mahali mlipo oana pana matter? Do you get me? Kwamba hata US waliko fia, nako tutaweza kusema kwamba, well, hawakuoana majuu hii!
Mwisho, usilete hoja ya tofauti za sheria za ndoa halafu ikipingwa unachomoa, eti anzisha thread nyingine. Wewe ndio ume introduce idea, eti oooh, hawa watu wame oana majuu, na majuu sheria zina favor wanawake (kwenye maamuzi ya misiba/mazishi, that is). Implication ni kwamba ingekuwa wameoana Tanzania, basi Serikali ingeshurutisha Msiba uende inavyo taka. Nika kwambia wrong! Halafu unawaka waka kama Said Mwema anavyo ogopa kukosolewa. You should Man up and deal with criticism!
Ndio maana nika ku call out ulivyo pretend kusema eti oooh, turekebishane. Please, can't pull wool over people's eye's here. Not mine anyway.