Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
FMES,

It will be wise and prudent to research first before posting.Especially since so many people look up to you.
 
Kwanza BARUA YA KWANZA ILIKUWA NI YA KUIDHINISHA UTOAJI WA PESA...Kuhusu hiyo ya pili ya kujibu audit querry ukisema ni kuwa alikuwa unaware we're gonna disagree...

Hapana Mkuu...Angeweza kushtukia mwenyewe kabla ya audit querry then angekuwa innocent vya kutosha!
Nachojua pesa zilikuwa ni nyingi mno na utaratibu wa utoaji haukuwa wa kawaida na hivyo madai kwamba ni incompentence ni very light argument.
Nauliza kuwa...Kwanini hakupiga simu ku confirm straight away given the fact kuwa the amount of money was too big and the procedures very unprofessional?
Nani ni Bosi wake?
Atachukua vipi word of mouth kutoka kwa mtu ambaye hayuko juu yake kimadaraka na kuidhinisha mamia ya mabilioni kwa madai tu ya incompentence?
Balali anaelezewa na serikali kuwa hakuwa mtuhumiwa...Sasa mtuhumiwa ni nani zaidi ya yule anayetuhumiwa kumdanganya Mama Meghji?

NB:Kumbuka pia kuwa definition ya corruption si lazima ionekane kuwa pesa zimeenda kwake direclty!
Mbona kama kuna watu wameshapewa chao toka kitambo?
Toka Ballali akiwa mtaani january akitetewa na kina MKJJ na wengineo kuwa eti ni huru..Wanaleta siasa zenye kutia kinyaa kwa watu wenye akili timamu!
Kwanini?
Kwanini tudharauliane kwasababu tumegundua kuwa kuna watu wana nia ya kutupotosha?
Nani asiyejua toka Ballali aje Marekani watu wamempigia kifua hadi sasa kafa kimizengwe na ni wazi kuna mtandao wa nguvu wenye kuwalinda mafisadi kihabari na kipropaganda!
MUNGU AWALAANI WALE WOTE WALIOWAGEUKA WAZALENDO!
MUNGU AWACHOME NAFSI ZAO NA GOD WILLING WAZALENDO WA KWELI WILL BE VICTORIOUS!EITHER SOME OF US DEAD OR ALIVE...ONE DAY I BELIEVE...ONE DAY..JUSTICE WILL PREVAIL!

Jmushi1,

Hili suala la EPA ni kama hulielewi vizuri maana scenario yako kama sio sawa hivi.

Meghji hakuwahi kutoa pesa za EPA. Hizo pesa zilitolewa wakati wa Mramba.

Kosa la Meghji ni lingine kabisa, sio la kuidhinisha kutolewa pesa.

Nafikikri hapo tuko pamoja.
 
1.
It will be wise and prudent to research first before posting.Especially since so many people look up to you.

2.
Senator Kennedy, cancer diagnosis/Brain cancer, admitted at Mass. General Hospital in Boston. Out of the the hospital, his doctors are weighing Chemotherapy and Radiation Treatments. No futher annoucemment.

source: Mass. General Hospital, Boston Massachusetts State.

3.
According to a death certificate first obtained in the internet iconic actor Charlton Heston's official cause of death was pneumonia.

According to his death certificate, a public document, Heston's immediate cause of death was pneumonia. In 2002, the actor acknowledged he suffered from Alzheimer's.

Mkuu Heshima yako, ulikuwa na muda wa kutosha kusema maneno yako ambayo sina uhakika yan-base on what? Na sikujua kuwa na hili pia ni moja kati ya majina yako kwa sababu nilikuwa ninaliheshimu sana hilio jina, not anymore lakini nainaomba uonyeshe pale ambapo siku-research,

na pia nikukumbushe hivi dataz hazina research, ila huwa ni kupata dataz na kutumia common sense, otherswise I am looking forward kuanza all over again na wewe kwenye hili jina lako la Pundint, now lets roll mkuu!
 
Tangia Ijumaa tumekua tukielezwa kwamba tutaletewa "dataz" mpya kuhusu kifo cha Balali, kwamba tusubiri marehemu azikwe kwanza. Leo ni jumapili, hizo data ziko wapi? Ama tu-conclude kwamba zilikuwa ni fixi?
 
Tangia Ijumaa tumekua tukielezwa kwamba tutaletewa "dataz" mpya, kwamba tusubiri Balali azikwe kwanza. Leo ni jumapili, hizo data ziko wapi? Ama tu-conclude kwamba zilikuwa ni fixi?

Mkuu,

Sio toka Ijumaa, ni toka Ballali ameondoka Dodoma, tunasubiri data mpaka leo, kuanzia za sumu, EPA mpaka kifo.

Halafu eti nini? Tuamini Ballali amekufa kwi kwi kwi!!!
 
Mkuu nimeamua on the personal reasons kuwa sitatoa tena dataz kwenye hii ishu, ninazo zote maana watu wangu wengi tu walikuwepo kwenye mazishi,
Lakini kwa sababu zangu binafsi, nimeamua kuwa sitazitoa tena, lakini ni ruhusa kwa wengine kutoa, sio lazima iwe mimi, sasa hivi niko kwenye ishu zingine muhimu kwa taifa,

ila karibu kwenye huu mjadala maana hili jina lako sijaliona kabisa mwanzoni kwenye hii topic! ndio maana mkuu wangu nilisema hivi ninakuheshimu sana maana ninakujua sana!
 
1
. wakuu hatushindani, ila ni kuwekana sawa tu ktk kuelimishana..........kama mtu anashindana basi tutakuwa hatujitendei haki wenyewe na ni huu ushindani unaofanya hata serikali yetu inashindwa mambo mengi........


2
. I think consistence inachangia sana kwenye credibility.. Ama nadanganya?


I got you mkuu, very intelligent man! lazima ni-admit hilo! na sure nani amesema unadanganya mkuu, unasema ukweli mzito sana mkuu!
 
Rejea uamuzi wako wa kutokuleta dataz wakati unazo as you have said!ssa kwa mfano wengine hawana hizo dataz na wewe umesema unazo ila kwa sababu zako hutazitoa!mimi naona ungezitoa tu ili watu wapate ondoa shaka katika hiki kifo chenye utata! Sorry kama nitakuwa nimekukwaza

Haya ndio niliyokuwa ninayasema, kwenye public hapa jamaa anajifanya anajua kila kitu, halafu kwenye PM anakuja na hizi, huu unafiki utaisha lini? Utafikiri unafiki ni wa viongozi wetu tu, what a shallow mind? Mtu mzima unawezaje kuwa kama mtoto mdogo halafu ukataka na sisi wengine tuwe kama wewe? After all the doubt you have raised kwenye hii topic kweli bado una ubavu wa kunitumia this nonesense? Tena una hata the nerves za kusema eti kama umenikwanza, wewe huoni exactly aliyekwazika ni nani kati yangu na wewe?

Ndio maana huwa tunasema kuwa viongozi wetu ni sisi wenyewe, wananchi!
 
Jmushi1,

Hili suala la EPA ni kama hulielewi vizuri maana scenario yako kama sio sawa hivi.

Meghji hakuwahi kutoa pesa za EPA. Hizo pesa zilitolewa wakati wa Mramba.

Kosa la Meghji ni lingine kabisa, sio la kuidhinisha kutolewa pesa.

Nafikikri hapo tuko pamoja.

We Mtanzania una yako?
Meghji akuandika barua kuwa ni kweli hizo pesa zinahitajika kwa ajili ya usalama wa taifa?
Kabla ya utoaji wa pesa hizo...Ni udhibitisho wa mama kwa niaba ya serikali uliofanikisha pesa kutolewa!Sasa nani asiyeelewa hapa?
Habari na threads zinafunguliwa kila siku...Na hazina hata maslahi kwa watanzania zaidi ya kuwachanganya huku mafisadi wakie endelea kugundua namna mpya za kuficha madhambi yao.
 
We Mtanzania una yako?
Meghji akuandika barua kuwa ni kweli hizo pesa zinahitajika kwa ajili ya usalama wa taifa?

Hapana hakuandika.

Kabla ya utoaji wa pesa hizo...Ni udhibitisho wa mama kwa niaba ya serikali uliofanikisha pesa kutolewa!Sasa nani asiyeelewa hapa?

Si kweli kwa sababu huelewi ili jambo lilianza lini na hutaki kuangalia nyuma ya historia ya sakata la EPA umeamua kuandika historia yako ili ikuthibitishie kila unachoamini.
[/quote]Habari na threads zinafunguliwa kila siku...Na hazina hata maslahi kwa watanzania zaidi ya kuwachanganya huku mafisadi wakie endelea kugundua namna mpya za kuficha madhambi yao.[/QUOTE]

Well nani anafungua hizi "threads"..?
 
Mkuu Wangu YRNIM,

Kwanza heshima yako mkuu, ninakusikia loud and clear, na sasa I rest my case mkuu, ila heshima mbele kwa elimu yako nzito ambayo kwa maneno yako mwenyewe na Mkuu Kuhani, nia na madhumuni yake ilikuwa ni "Kuelimishana tu na sio kushindana wala kuharibiana majina au credibility" ilikuwa ni kuelimishana tu! Ninaomba tu ikiwezekana tuendele na tabia hiyo hiyo ya kuelimishana tu!

Skiu zote ninawaaminia sana wananchi wa hapa JF, kwamba kwenye hilo la nia ya madhumuni yako na ya My Brother Kuhani Mkuu, lakini kama nilivyosema ninamshukuru sana My Brother Kuhani Mkuu kwa kunisaidia sana kuwahistukia wanafiki,

otherwise ninaomba ku-retire from this topic yaani one of my best ever na pia niseme wazi kuwa sikujua kuwa kulikuwa na topic moja ambayo ilianzishwa na kufutwa bila ya mimi kujua, hiyo siku nilikuwa on the road, ghafla mtu akanipigia kunipa dataz kuhusu kifo cha Balali, nikasimama kwenye mahali na kwa haraka na kuingia hapa na kuanziasha hii topic kwa haraka sana, kwa hiyo sikupata muda wa kuangalia anything, mpaka niliporudi home jioni, ni jana tu ndio nimeambiwa kuwa kuna topic ilianzishwa inayonihusu lakini ikaondolewa haraka, hiyo sio mara ya kwanza kufanyika, mara ya mwisho ilianzishwa topic moja hapa inayosema mimi na the so called baba yangu tunaimiliki hii forum, lakini ikafutwa kabla sijaiona,

Otherwise tuendele kuelimishana, lakini this debate was fun to have kwangu!

poa poa, kamanda injaji manyota........i appreciate that!! seriously nilikuwa nafikiria kuchukua "mchambuzi's option" lakini i was like eeeeeeeeeeeeeeeeenh, let me wait!! i was really frustrasted na squabbling ya last three dayz!! but its all good....saa hii naelewa vizuri zaidi JF kuliko two weeks ago! thanks.
 
I mean siku ya Alhamisi, nilipigiwa siku na kupewa dataz za kufariki kwa Balali, nikawapigia simu watu wawili wa hapa, kuwa waiweke, lakini wakasema wanaogopa backlash kwa hiyo nikatafuta kitongoji kimoja huko nilikokuwa niukaiweka hii topic haraka haraka ili niendelee na safari, bila ya kuangalia anything hapa, kwa hiyo sijui anything na hiyo topic mkuu,

Anyways I hope nimeeleweka hapo wakuu! Maana hao watu wanaweza kuthibitisha huo ukweli, kama that was the ishu kama nilivyodokezewa jana, similiki hii forum, wala sijui nani anamiliki, nilipewa offer ya u-Mod huko nyuma sikuitaka kwa kugopa lawama kama hizi, hata ukiangalia hii topic utaona kuna gap ya masaa mengi kati ya time niliyoianzisha na niliporuid tena na sio mara ya kwanza nimefanya hivi kwenye hot topic yaani ku-brak safari na kuweka post na kurudi later,

Asante Mkuu YRSMN kwa kuelewa!
 
Okay mzee, tumekuelewa. Ukifika wasaa ambao utaona ni muafaka we tumwagie tu hizo dataz. Tutazisubiri kwa hamu. Trust your insticts bro.
 
By the way, nimethibitisha sasa hivi kuwa ubalozi wetu DC finally, waliruhusiwa kwenda kwenye mazishi na walishiriki kikamilifu.
 
We Mtanzania una yako?
Meghji akuandika barua kuwa ni kweli hizo pesa zinahitajika kwa ajili ya usalama wa taifa?
Kabla ya utoaji wa pesa hizo...Ni udhibitisho wa mama kwa niaba ya serikali uliofanikisha pesa kutolewa!Sasa nani asiyeelewa hapa?
Habari na threads zinafunguliwa kila siku...Na hazina hata maslahi kwa watanzania zaidi ya kuwachanganya huku mafisadi wakie endelea kugundua namna mpya za kuficha madhambi yao.

Jmushi1,

Si ungechunguza kwanza kabla ya kuendelea kujadili hili la EPA? Barua ya Meghji ilikuwa kwa hao wachunguzi kuwaambia hizo pesa ambazo zilichukuliwa wakati yeye sio waziri wa fedha zilikuwa kwa kazi maalumu.

Kumbuka tena pesa za EPA zilichukuliwa wakati JK sio rais na pia wakati Meghji sio waziri wa pesa.

Meghji ana makosa yake lakini sio hayo unayoyasema. Fuatilia data kuhusu hili na utagundua unavyoamini sio kweli.
 
By the way, nimethibitisha sasa hivi kuwa ubalozi wetu DC finally, waliruhusiwa kwenda kwenye mazishi na walishiriki kikamilifu.

Mkuu FMES,

Vipi wanasema walipata na nafasi ya kumuaga marehemu? Au waliishia kuliaga jeneza ambalo hawakujua ndani kuna nini?
 
Mtanzania,
You can join the group of doubting Thomases. For all I care!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom