Hatimaye nimeanza mchezo wa kubet na mwanzo mzuri

Hatimaye nimeanza mchezo wa kubet na mwanzo mzuri

Habari zenu Wana Jamvi hope ni wazima. Ebana hatimaye katika harakati za hapa na pale baada ya kuona washkaji stori zinazoongelewa ni za masuala ya kubeti ikabidi na Mimi niwaombe wanielekeze kutokana na kwamba Nina ujuzi wa kutosha wa masuala ya soka. Basi msela mmoja aka download app Moja kwa jina la bet PAWA nikazama mpesa nikatia alfu Tano kutokana na uchambuzi na mwenendo wa mechi nikaamua kuchagua mechi kati ya man city na Leicester basi nikaweka option ya both team to score mi nakachagua no.Wana wakawa wananiambia hiyo mechi wanafungana zaidi ya goli nne nikawaambia tulieni mtaona mambo ndo Kama unavoona apo chini. Basi baada ya kupata huo mkeka sikupooza damu nikaandaa mkeka mwingine wa timu tatu nao pia ukatiki Sasa nimekaa najiuliza mbona jamaa kila siku wanalalamika wanachaniwa mkeka Yao wakati mi naona ni kazi rahisi na uelewa wako juu ya mpira nawasilisha wakuu
Happy new yr kijana usitokee na ukitoka usiage
 
Sijui kwanini mtu anayebeti mara ya kwanza lazima ashinde, hata aweke zombi lenye odds 6.00. Mimi mara ya kwanza nakumbuka nilimpa crystal palace alikuwa na odds 8 dhidi ya man city na akashinda. Jamaa aliyenifundisha namna ya kubeti naye alisuka mkeka wake akampa man city ndo aliyemchania peke yake, jamaa akaja kuniuliza nilifikiria nini kumpa crystal palace? Mimi mwenyew sielewi. kilichofuata mpaka sasa... nitaandika uzi wake kabisa maana ni stori ndefu 😂😂😂
 
Mimi nikiweka pesa ndogo naliwa lakini nikiweka laki nikibet na shinda, lakini naogopa kuweka laki wakat% 99 nakua nashida kwakua nakua naweka timu 5 hazizidi.
 
Habari zenu Wana Jamvi hope ni wazima. Ebana hatimaye katika harakati za hapa na pale baada ya kuona washkaji stori zinazoongelewa ni za masuala ya kubeti ikabidi na Mimi niwaombe wanielekeze kutokana na kwamba Nina ujuzi wa kutosha wa masuala ya soka. Basi msela mmoja aka download app Moja kwa jina la bet PAWA nikazama mpesa nikatia alfu Tano kutokana na uchambuzi na mwenendo wa mechi nikaamua kuchagua mechi kati ya man city na Leicester basi nikaweka option ya both team to score mi nakachagua no.Wana wakawa wananiambia hiyo mechi wanafungana zaidi ya goli nne nikawaambia tulieni mtaona mambo ndo Kama unavoona apo chini. Basi baada ya kupata huo mkeka sikupooza damu nikaandaa mkeka mwingine wa timu tatu nao pia ukatiki Sasa nimekaa najiuliza mbona jamaa kila siku wanalalamika wanachaniwa mkeka Yao wakati mi naona ni kazi rahisi na uelewa wako juu ya mpira nawasilisha wakuu
Vip mkuu hizi leo zitatoa kweli?
 
Attachments

  • Screenshot_20241230-122445_LiveScore.jpg
    Screenshot_20241230-122445_LiveScore.jpg
    151.1 KB · Views: 3
Sijui kwanini mtu anayebeti mara ya kwanza lazima ashinde, hata aweke zombi lenye odds 6.00. Mimi mara ya kwanza nakumbuka nilimpa crystal palace alikuwa na odds 8 dhidi ya man city na akashinda. Jamaa aliyenifundisha namna ya kubeti naye alisuka mkeka wake akampa man city ndo aliyemchania peke yake, jamaa akaja kuniuliza nilifikiria nini kumpa crystal palace? Mimi mwenyew sielewi. kilichofuata mpaka sasa... nitaandika uzi wake kabisa maana ni stori ndefu 😂😂😂
Mkuu weka timu chahe mfano timu 4 au 6 halafu weka 50k au 100k.
 
Habari zenu Wana Jamvi, hope ni wazima. Ebana, hatimaye katika harakati za hapa na pale, baada ya kuona washkaji stori zinazoongelewa ni za masuala ya kubeti, ikabidi na mimi niwaombe wanielekeze kutokana na kwamba nina ujuzi wa kutosha wa masuala ya soka.

Basi msela mmoja aka-download app moja kwa jina la Bet PAWA. Nikazama Mpesa, nikatia alfu tano. Kutokana na uchambuzi na mwenendo wa mechi, nikaamua kuchagua mechi kati ya Man City na Leicester. Nikaweka option ya “both teams to score,” nikachagua “no.” Wana wakawa wananiambia hiyo mechi wanafungana zaidi ya goli nne. Nikawaambia tulieni, mtaona mambo. Ndo kama unavyoona hapo chini.

Basi baada ya kupata huo mkeka, sikupooza damu. Nikaandaa mkeka mwingine wa timu tatu nao pia ukatiki. Sasa nimekaa najiuliza, mbona jamaa kila siku wanalalamika wanachaniwa mkeka wao wakati mi naona ni kazi rahisi? Na uelewa wako juu ya mpira. Nawasilisha, wakuu.
Nipe mkeka wa mechi mbili za leo.
Mbona kubet rahisi tuu sema watu tamaa.
Mechi zako mbili au tatu tia mpunga tulia zako
Jana ilikuwa yanga ashinde na magoli mawili.
Spurs wolves gg
Man city o1.5 unatia million leo ulikuwa na laki 8
 
Mkuu mimi kwanza nilikuwa si mpenzi wa mpira mara ya kwanza na bet blindly japo nilikuwa na idea ya jinsi ya kuweka stakes, nilijikuta nimeweksa stakes za mechini za ndani ya siku 4. Niliweka 15000 na nikaja kupokea 245000 hivi. Nikaona mambo si haya nikawa addicted na kubet.
Baadaye nikahamia kwenye basket. Mimi stakes zangu ilikuwa ni kuanzia 50000 hadi laki mbili. Nikawa ninakula sana.
Ila upepo ulivyobadilika.... nilikuwa napigwa. Kuna siku nilipigwa pesa ndefu na ndipo nilisema naacha rasmi. Now ni miaka toka niache kubet.
Huna akili ndio maana uliliwa pesa ndefu
 
Back
Top Bottom