Hatimaye nimeanza mchezo wa kubet na mwanzo mzuri

Happy new yr kijana usitokee na ukitoka usiage
 
Sijui kwanini mtu anayebeti mara ya kwanza lazima ashinde, hata aweke zombi lenye odds 6.00. Mimi mara ya kwanza nakumbuka nilimpa crystal palace alikuwa na odds 8 dhidi ya man city na akashinda. Jamaa aliyenifundisha namna ya kubeti naye alisuka mkeka wake akampa man city ndo aliyemchania peke yake, jamaa akaja kuniuliza nilifikiria nini kumpa crystal palace? Mimi mwenyew sielewi. kilichofuata mpaka sasa... nitaandika uzi wake kabisa maana ni stori ndefu 😂😂😂
 
Mimi nikiweka pesa ndogo naliwa lakini nikiweka laki nikibet na shinda, lakini naogopa kuweka laki wakat% 99 nakua nashida kwakua nakua naweka timu 5 hazizidi.
 
Vip mkuu hizi leo zitatoa kweli?
 

Attachments

  • Screenshot_20241230-122445_LiveScore.jpg
    151.1 KB · Views: 3
Mkuu weka timu chahe mfano timu 4 au 6 halafu weka 50k au 100k.
 
Nipe mkeka wa mechi mbili za leo.
Mbona kubet rahisi tuu sema watu tamaa.
Mechi zako mbili au tatu tia mpunga tulia zako
Jana ilikuwa yanga ashinde na magoli mawili.
Spurs wolves gg
Man city o1.5 unatia million leo ulikuwa na laki 8
 
Huna akili ndio maana uliliwa pesa ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…