Hatimaye nimeanza mchezo wa kubet na mwanzo mzuri

Sasa nani kakwambia alikuwa anategemea kubet ili aendeshe maisha. Nilikuwa na bet naenjoy winning basi. Si kwamba nilikuwa nabet antegemea betting.
Na wala sikuwa nabet ili iwe kazi maalum ndiyo maana raha ya winning ilipopotea na mimi nikaachana nayo.
 
Tembea na roll over hio hio
Kila laheri
 
Waliwao hutafuta hela ya kiwanja,kujenga,gari.. ukianza tu tamaa,utamjua mhindi nani
 
Aya bhn kubahatisha Nako kumekua kurahisi, sawa unaona jina tu linajieleza ubashiri, kubahatisha, bahati nasibu afu iwe rahisi
 
Acheni kufarijiana bhn betting ni ubahatishaji tu ata odd 1.01 inachana, hakuna Cha tamaa Wala nn , unavoweka timu chache na odds chache unajiongezea tu uwezekano wa kupata ila sio uhakika
 
Kuna mtu eti anasema timu Fulani kushinda uhakika.😂 Mbona sijawahi ona timu ambayo haijawah kufungwa duniani kote
 
Poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…