Kasikia tarumbeta chap kavaa kijora πΉπΉNi mwendo wa kunata na beat ππ
Ndiyo kilichonikutaWahuni wameruka na 60k cardless simbanking hela inaonekana imetoka lkn ATM imenitolea macho tu sio poa.
Ndio maana nikasema utani na weweπ€£π€£Million ipi tena? Kasema aliweka laki 5 πΉπΉ
Matajiri wa JF mnafurahisha sana..!!
NaamBora kuweka pesa international banks.
Nilianza kuandaa hati ya mashtaka nipande na nyie kortini πΉπΉNdio maana nikasema utani na weweπ€£π€£
Hahahhaha uzuri mmoja huwa nakuelewaπ€£Nilianza kuandaa hati ya mashtaka nipande na nyie kortini πΉπΉ
Uko sawa mno mkuu nakubaliana nawewe kwa 100%Huwa mara zote naonaga njia bora ya kutunza pesa ni kuiwekeza tu
πΉπΉHahahhaha uzuri mmoja huwa nakuelewaπ€£
Huwa ninaona hivyo mkuuUko sawa mno mkuu nakubaliana nawewe kwa 100%
Madogo suti zimewabamba vilivyoπΉπΉ
Fuga , Lima anzisha viwanda vidogo dogo , vimilioni kadha sio pesa ya kufuga bank bwashee π ( utani)
Nimetania tu bwasheeBwasheeee π
Huo mwendo wa mawakili wa JF tunavyopanda mahakamani πΉπΉMadogo suti zimewabamba vilivyo
Ngoja na wewe upandishwe kizimbani siku moja π πHuo mwendo wa mawakili wa JF tunavyopanda mahakamani πΉπΉ
Mi kama Lissu najitetea mwenyewe na wote nawatoa knockout πΉπΉNgoja na wewe upandishwe kizimbani siku moja π π