Hatimaye nimefanikiwa kutoa pesa zangu zote bank ya CRDB

KAma ungekuwa mfanyabiashara serious huwezi kwenda Nmb.
 
NMB WASWAHILI SANA.
Uko sawa, nilifungua nmb bonus account kwa maelezo ya interest yao kwamba ni 12% kwa mwaka na gawio linagawanywa kwa awamu nne ya miezi lkni Cha ajambu mwezi Jana nimeenda kuchungulia nikakuta imeongezeka elfu 87 tu kwenye mil 10. Hiyo ni tangu mwaka Jana mwishoni
 
wife aliweka pesa huko kwenye fixed acc akitegemea apate faida yoyote mwisho wa siku kaishiwa kukatwa hata ile aliyoweka.
 
Juzi nilijaribu kununua bundle wakakata hela ila sikuona salio. Nimebaki kuangalia balance ila sigusi chochote hadi hali ikae vizuri, au niende dirishani kutoa, ila simbanking na atm kwa sasa hapana
 
Tafuta line ya uwakala na ya lipa namba , pesa zako unazihifadhi huko.
Upande wangu naona line za sim usalama wake unakuwa ni mdogo. Kwani line za uwakala zinabeba maximum tsh ngapi kuhifadhi? Maana kama hizi nilizonazo ambazo si za uwakala mwisho ni mil 10
 
Upande wangu naona line za sim usalama wake unakuwa ni mdogo. Kwani line za uwakala zinabeba maximum tsh ngapi kuhifadhi? Maana kama hizi nilizonazo ambazo si za uwakala mwisho ni mil 10
Kwa wakala BElow 10m or above kwa kibali unaweza kuweka huko ambazo sio za wakala mwsho milion 5 kama huna kibali
 
Kwa wakala BElow 10m or above kwa kibali unaweza kuweka huko ambazo sio za wakala mwsho milion 5 kama huna kibali
Line ni za kufanyia michongo tu kurahisisha miamala lkn sioni kwamba unaweza kuhifadhi pesa huko
 
Huko ndio ninapopawazia ila haya maluelue ya crdb yananichanganya. Kuna siku niliwapigia utt wakasema kujaza form nitembekee kwenye tawi la crdb lililokaribu yangu
Fanya hivyo mkuu, hautojuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…