min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Wivu umeshanishika , ngoja nikalewe
Wivu umeshanishika , ngoja nikalewe
😁😁 Isije ikawa umetabiri ukwel naona jamaa kakubali wala hajareactAu ndio yale yale ya dokta manyau nyau DR HAYA LAND, umepotea sana mkuu wangu upo mzima?
Umeanza lini wivu ba mnyang’ode!Wivu umeshanishika , ngoja nikalewe
UtajijuNimecheka kimoyo moyo ila majirani wamesikia
Mweeeh!Kwa sababu you beauty triggered the hell put of me
Nina wivu wa kisirisiri ujue😅Umeanza lini wivu ba mnyang’ode!
Mke mwenza nakusemea.
Lie you not.. Nilikuwa nakumezea mate tu wa kina ERoni wanavyokuita mke😐 hahahaMweeeh!
Kwanini sasa?Nina wivu wa kisirisiri ujue😅
Kijana wetu wa kwanza huyu!Mke mwenza nakusemea.
Mwamba umepigwa bench niniWivu umeshanishika , ngoja nikalewe
Mhmmmmm nimeng'ang'ana kukujibu nikajikuta nimekunywa vodka kavu bila kuchanganya🤮Kwanini sasa?
Ndio bwashee , ila mimi nipo pale 👉 atarudi tuuMwamba umepigwa bench nini
Wacha bwana!!Lie you not.. Nilikuwa nakumezea mate tu wa kina ERoni wanavyokuita mke😐 hahaha
Polee piga vitu ba mnyang’ode!😁Mhmmmmm ningangana kukujibu nikajikuta nimekunywa vodka kavu bila kuchanganya🤮
Madam shkamooWacha bwana!!
Ila hivi vitoto🤣🤣🤣
Mmmmh! Mbona simfahamu?Kijana wetu wa kwanza huyu!
Vinachekesha kama sio vitoto vyako mke mkubwa🤣Wacha bwana!!
Ila hivi vitoto🤣🤣🤣
Stela hapana mamnyang'odePolee piga vitu ba mnyang’ode!😁