Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Umesahau ulinitukana?Mimi ni genz nisie na makuu
Umesahau ulinitukana?Mimi ni genz nisie na makuu
Sawa ni tag ila mtu asipo kuelewa una sound kama una ngoma bwasheeNo mwanaume aliyekamilika anapiga MITI Kuna Uzi wangu mmoja na kutag
Wapi huko?Ungekuj Tukkawa tunakumbushana
Kama ni mwanaume....angalia usije ukajihasi ..Faida nilizopata ni nyingi Sana
Mimi sio yule wa mwaka 2025 -july najishukuru,
Hamu ya sex sometimes ilikua kali sana ila nilifanya mazoezi makali Gym na kufikiria mambo magumu yasiyo na majibu kwenye real world
Mkuu ungeainisha hizo faida Moja baada ya nyingine ili na sisi wahanga wa NGONO tujitathmini.Faida nilizopata ni nyingi Sana
Mimi sio yule wa mwaka 2025 -july najishukuru,
Hamu ya sex sometimes ilikua kali sana ila nilifanya mazoezi makali Gym na kufikiria mambo magumu yasiyo na majibu kwenye real world
Umeelewa nilicho andika ? Wewe endelea tu na hizo harakati usije kuja hapa kulia kuwa umepoteza nguvu gaflaI'm a men na niko fit vibaya sana
Kwa sababu you beauty triggered the hell out of meUmesahau ulinitukana?
Mwamba nimemsoma kwa kina sana btn the line , nikaweka na ka toti kamoja ka vodka nikaona ana sound kama ukimwi una flow kwenye damu bwashee ila sio kwa ubaya lakini🤔Umewaza nini mkuu😁 nimecheka kwa sauti
Si nilipo kwambia mbon una sahau sahauWapi huko?
Nimecheka kimoyo moyo ila majirani wamesikiaKawaida sana! Mwaka jana nilikaa miezi 7, safari hii nakaa mwaka.
Au ndio yale yale ya dokta manyau nyau DR HAYA LAND, umepotea sana mkuu wangu upo mzima?
Nilitulia tu kwa muda Kwakuwa nilikiwa busy mi napelekaga moto haswaSawa ni tag ila mtu asipo kuelewa una sound kama una ngoma bwashee
Tumia akili swala la binadamu kupoteza nguvu za kiume ni kwa wanadamu wote ..tunacho tofautiana ni ni kasi tu ya kupoteza ...hakuna mwanaume asiye poteza nguvu za kiume ila ni muda tu wa kupoteza au kuanza kupoteza ndiyo una tofautianaHaiwezi kutokea zipotee ziende wapii
Wapelekee bwashee, ila jua kuna maambukizi mapyaNilitulia tu kwa muda Kwakuwa nilikiwa busy mi napelekaga moto haswa