Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Kabisa, akifanya hivyo hakutakuwa na wimbo wa kibamia tena 🤭Mjukuu jitunze kama mimi bibi yako🤣
Kabisa, akifanya hivyo hakutakuwa na wimbo wa kibamia tena 🤭Mjukuu jitunze kama mimi bibi yako🤣
Kuwa na imani na Wazee 🤭Astghafirullah🤣🤣🤣
Kwa hiyo kumbe na wewe ni bikra kama mimi?Huamini pole
Kukuamini mzee wewe bora nivute Bangi🤣Kuwa na imani na Wazee 🤭
Akcwalii☺️Kwa hiyo kumbe na wewe ni bikra kama mimi?
Huyo hajielewi mkuu badala ndo anakuwa kijana mwenye akili kubwaMtu akikaa bila sex mda mrefu anakuaje upinde ?
Ndo mdudu gani huyo?Akcwalii☺️
Hakika Mkuu 😅😁😁 Tuishi umo
Hahaha........can't believe huna imani kiasi hicho kwa Wazee 🤭Kukuamini mzee wewe bora nivute Bangi🤣
Mzee wa 47 lakini una chat swaga za gnz hata ungekua wewe ungeamini?Hahaha........can't believe huna imani kiasi hicho kwa Wazee 🤭
nipooo mkuuupo mwambaaaaa nimerejea
Sema huko tunafanikiwa ila bia zinatumaliza bwasheeHakika Mkuu 😅
Ukiweza kuishi hivyo, hata kibunda chako utafanikiwa kukitunza 🤭
Faida nilizopata ni nyingi Sana
Mimi sio yule wa mwaka 2025 -july najishukuru,
Hamu ya sex sometimes ilikua kali sana ila nilifanya mazoezi makali Gym na kufikiria mambo magumu yasiyo na majibu kwenye real world
Sasa pesa kazi yake nini mkuu?We jamaa utakuwa muhaya kabisa na unakamuliwa pesa ka ng'ombe, cheki unavyo jikomba?