Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Shukran mkuuH
HOngera
Shukran mkuuH
HOngera
uliamua tu au ulikua kwenye mashindano ya kucotrol hisia.Kama huwezi kujicontrol usijaribu hii,kuna kipindi nilienda kavu kufika miezi 8,aise hakuna mwanamke nilikuwa namuona mbaya,muda wote nawaza udwanzi,nikakomaa nikaenda kama mwaka na ushee,ila haikuwa rahisi
hakunaaa, ashindweeNi mwaka wa 50 sijagusa mbunye..
Mwenzenu huku natomba Sana, yaani kumaliza hata wiki bila kupiga mjegeje ni mtihani Sana
kwa upande wake mpongeze, kaweza kukaza ndani ya mwaka, je wewe unaweza?Kwahyo hukufanya sex kwasababu uliamua na kuweka nadhiri
Au hukufanya sex kwasababu una madeni mji mzima, ulikuwa na msongo wa mawazo au kwasababu mke alikukimbia hivyo sex ya bure haikuwepo
Kwann nisiweze kila kitu kinaanzia kichwani kama unaamini huwezi basi hutaweza.kwa upande wake mpongeze, kaweza kukaza ndani ya mwaka, je wewe unaweza?
ila mimi sio wa hivyo kabisa mzee.Kwann nisiweze kila kitu kinaanzia kichwani kama unaamini huwezi basi hutaweza.
Nchi za Africa haziendelei kwasababu kama hizi vijana muda wote wanawaza Sex, pombe, kamari, Nyama za bure na kupata mafanikio bila kufanya kazi
Kuna kipindi unaweza kupitia mambo flani ukajikuta unajitenga sana na watu mbaya zaidi mimi ni ambivert,kujifungia ndani mwenyewe siku nzima sioni kazi,ilikuwa nikipindi cha upweke nilipitia kuwahi kutokeauliamua tu au ulikua kwenye mashindano ya kucotrol hisia.
mambo gani hayo yalikufanya kuamua kufanya hivyo.Kuna kipindi unaweza kupitia mambo flani ukajikuta unajitenga sana na watu mbaya zaidi mimi ni ambivert,kujifungia ndani mwenyewe siku nzima sioni kazi,ilikuwa nikipindi cha upweke nilipitia kuwahi kutokea