ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Mimi bado, upo mbioni😅😅🏃🏃Nimekupa sangapi🤣
Mimi bado, upo mbioni😅😅🏃🏃Nimekupa sangapi🤣
Nani tayari? Ila leo umeniandama we mzee😅Mimi bado, upo mbioni😅😅🏃🏃
Waliopita, siwajui...Nani tayari? Ila leo umeniandama we mzee😅
Hajapita mtu hebu tulia! Huoni hata sabato imeingia wewe ni uzinzi tu🙌🏾Waliopita, siwajui...
Kiuno kilikuwa hakikuumi?Faida nilizopata ni nyingi Sana
Mimi sio yule wa mwaka 2025 -july najishukuru,
Hamu ya sex sometimes ilikua kali sana ila nilifanya mazoezi makali Gym na kufikiria mambo magumu yasiyo na majibu kwenye real world
Neema itafanya kazi yake...Hajapita mtu hebu tulia! Huoni hata sababto imeingia wewe ni uzinzi tu🙌🏾
Nyie si mpo chini ya sheria bado, siku hizi na nyie mnaishi kwa neema ya Mungu?Neema itafanya kazi yake...
Nani alikwambia hatuishi kwa neema?Nyie si mpo chini ya sheria bado, siku hizi na nyie mnaishi kwa neema ya Mungu?
Si mnavikana vitu vilivyoandikwa kwenye agano jipya mpo busy na agano la kale!Nani alikwambia hatuishi kwa neema?
Umedanganywa na naniSi mnavikana vitu vilivyoandikwa kwenye agano jipya mpo buzy na agano la kale!
Upo mkoa gani sheheFaida nilizopata ni nyingi Sana
Mimi sio yule wa mwaka 2025 -july najishukuru,
Hamu ya sex sometimes ilikua kali sana ila nilifanya mazoezi makali Gym na kufikiria mambo magumu yasiyo na majibu kwenye real world
Nimesoma shule za wasabato najuaUmedanganywa na nani
Ulikuwa mdogo..Nimesoma shule za wasabato najua
Mpaka namaliza shule nasali huko nimemaliza chuo ndio nikawahama!Ulikuwa mdogo..
Uliona wanakunyima kunywa pombe, kutoboa pua na masikio na kusuka rasta😅Mpaka namaliza shule nasali huko nimemaliza chuo ndio nikawahama!
Sex drives huwa zinatofautiana kutoka ntu hadi ntuNaamini Kuna watu hata wapitie hali gani wao hamu inakuwa juu mno
Exception ya pombe vingine sifanyi! Waliniudhi kutokula kitimoto! Despite all that, what happens mwanamke akitoboa sikio na kusuka?Uliona wanakunyima kunywa pombe, kutoboa pua na masikio na kusuka rasta😅
HOngeraNakaribia miaka 40 na sijawahi kumwona mwanamke nataka iwe historia kabisa na nitaenda kwenye media kutangaza