ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Hamia airtel mkuu, acha maneno mengi...Nihamie kwa wazee sio?
Hamia airtel mkuu, acha maneno mengi...Nihamie kwa wazee sio?
Interesting...Aisee Sex mnaichukuliaje sijui🤔 so ukifanya kuna ubaya gani kwamba hata usipofanya ionekane ni ushujaa
Ndio wapi mzee?Hamia airtel mkuu, acha maneno mengi...
Purpose driven living and mental clarityWhat was ur mission?
Sounds great!Purpose driven living and mental clarity
Gen Z mna kazi sana alooNdio wapi mzee?
uongooooTumia akili swala la binadamu kupoteza nguvu za kiume ni kwa wanadamu wote ..tunacho tofautiana ni ni kasi tu ya kupoteza ...hakuna mwanaume asiye poteza nguvu za kiume ila ni muda tu wa kupoteza au kuanza kupoteza ndiyo una tofautiana
Mi sio gen zee wewe! Unazijua xters za gen z?Gen Z mna kazi sana aloo
Ndio nyie tu hakuna tofauti, kama upo kwa bridge kabisa huna tofauti nao😁Mi sio gen zee wewe! Unazijua xters za gen z?
Unawatofautisha kwa vipi?Ndio nyie tu hakuna tofauti, kama upo kwa bridge kabisa huna tofauti nao😁
Kwani Yesu alisema tutawatofautishaje😁Unawatofautisha kwa vipi?
Nilivyo ona una blue tik tu basi sikushangaa jibu lako 😁...uongoooo
Ngono mnaipa promo sana, yaani umeandaa points kabisa ku-defend, na points umezipangilia kabisa utafikiri dissertation za Udsm..Hamna ushujaa hapo, sex ni moja ya sifa za kiumbe hai [mamalia].Na kuukana ubinadamu wako na mwili wako.Sex inaepukwa kama kuna sababu za msingi mfano magonjwa, mwenza hajapatikana, kujitoa sadaka - mapadre, masista n.k.
Kinyume na hapo ni kujitesa tu kwa mtu aliyekamilika.
Yesu ndio kawapa huo utambulisho?Kwani Yesu alisema tutawatofautishaje😁
Naona yule kijana kakuambukiza nawe hutaki mambo ya Yesu😁Yesu ndio kawapa huo utambulisho?
Hawezi! Nina msimamo mkali nione hivi! Wewe mwandiko wangu unakuponza..Naona yule kijana kakuambukiza nawe hutaki mambo ya Yesu😁
Msimamo gani bwana, mbona kidude unatoa 🏃🏃Hawezi! Nina msimamo mkali nione hivi! Wewe mwandiko wangu unakuponza..
Nimekupa sangapi🤣Msimamo gani bwana, mbona kidude unatoa 🏃🏃