Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hapana ba mnyagodeKwamba nilikua nazingua mamnyo?
Hapana ba mnyagodeKwamba nilikua nazingua mamnyo?
Kwahiyo unamtetea sio?🙄Hana shida kabisa, shida mnazo nyie.
Kitendea kazi kisipotumika mara kwa mara hupungua ukubwa na upoteaKwani chakula hicho usipokula utakufa?
Acha nishushe vituHapana ba mnyagode
Si ndio! Mdogo wangu huyo🤣Kwahiyo unamtetea sio?🙄
Weka weka wekaaa!Acha nishushe vitu
Basi humjui vzr bado!😁Si ndio! Mdogo wangu huyo🤣
Weeeh usiniambie!!Basi humjui vzr bado!😁
Nasemajee! Humjui vzr pampula wako!👌🏽Weeeh usiniambie!!
Pampula anakwama wapi🙆♂️🙆♂️🙆♂️Nasemajee! Humjui vzr pampula wako!👌🏽
Tamaa! Asione kisketi kipya anapita nacho!Pampula anakwama wapi🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Duuuuuh! Hata hafananii🙆♂️🙆♂️🙆♂️Tamaa! Asione kisketi kipya anapita nacho!
Basi hujamjua bado😆Duuuuuh! Hata hafananii🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Itakuwa🙆♂️🙆♂️🙆♂️Basi hujamjua bado😆
Mmmm we una mda gani kwa Mfano ?Kwani chakula hicho usipokula utakufa?
Zikija siku nyingine tuambie tutajua how to omitBasi nitakua nina tatizo, nina mwaka wa tatu na miezi miwili, lakini najiona nipo kawaida japo kuna muda hisia zinakuja ila mazoezi na kujipa ubusy vinaniokoa.
Ohoo! Ukimfatilia utagundua kirahisi tu🙄Itakuwa🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Au unamchafua tu mdogo wangu!!
Kwanini watu waniamulie mwili wanguZikija siku nyingine tuambie tutajua how to omit