Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

Faida nilizopata ni nyingi Sana

Mimi sio yule wa mwaka 2025 -july najishukuru,

Hamu ya sex sometimes ilikua kali sana ila nilifanya mazoezi makali Gym na kufikiria mambo magumu yasiyo na majibu kwenye real world
Sasa hujafanya sex mwaka na hamu ulikua unapata ili upate nini haswa?
 
Hivi hua mnadhani kila mwanamke ni wa vizinga😁

mimi usipotoa pesa mwenye sikuombi labda niwe karibu kufa
Na inanilinda kutopandwa kicwani

Sio kila mwanamke ana msururu wa kuni zinazomuweka watu wametulia bwashe
Njia pekee ya mwanamke kupinga hoja ni kujitofautisha na wenzake, kama hapa kweye hela unasema sio kila mwanamke, kwenye kugawa utamu pia sio kila mwanamke
Lakini tunaowajua vizuri tunawaangalia tuu
 
Njia pekee ya mwanamke kupinga hoja ni kujitofautisha na wenzake, kama hapa kweye hela unasema sio kila mwanamke, kwenye kugawa utamu pia sio kila mwanamke
Kwahiyo wewe unadhani kweli ni kila mwanamke?
Jifunze kutumia neno baadhi itakusaidia sana
Lakini tunaowajua vizuri tunawaangalia yuu
Huwezi kujua watu wote sema una uzoefu na wachache unaowafahamu
 
Hivi hua mnadhani kila mwanamke ni wa vizinga😁

mimi usipotoa pesa mwenye sikuombi labda niwe karibu kufa
Na inanilinda kutopandwa kicwani

Sio kila mwanamke ana msururu wa kuni zinazomuweka watu wametulia bwashe
Date na mimi ili nipate risiti ya haya maelezo, kinyume na hapo itaonekana unajimegea minyama.
 
Back
Top Bottom