Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Wacha bwana!Hahaha sikuja duniani kujamiiana mimi. Nimechaguliwa na muumba nije niwe mtu mkubwa saana, kama Jesus, Buddha, Sina doa wala dhambi halisi...
Mimi ni walking saint
Wacha bwana!Hahaha sikuja duniani kujamiiana mimi. Nimechaguliwa na muumba nije niwe mtu mkubwa saana, kama Jesus, Buddha, Sina doa wala dhambi halisi...
Mimi ni walking saint
HahahaWacha bwana!
Yaan utam woteee ule niuache hiiiiii????Ama kuna watu mnajua kujitesa ...nyie ndo baadae zikiwapanda utasikia kuna jemba imekutwa inamtafuna kuku
Kumbe wewe uko kila mahali unachungulia tuWacha bwana!
Kama kweli napita naked jeyihefuEti mjukuu! Mie nina miaka kumi na hata sisemi🤣🤣
Hakuna ushuja wowoteAsiye fanya ndo anaonekanq shujaa
kwahiyo kila mtu ambae anakaa mwaka bila kusex anamaliza sabuni zenu?Nyie ndio mnamaliza sabuni zetu
hongera sana, ukapate hitaji la moyo wakoHahaha sikuja duniani kujamiiana mimi. Nimechaguliwa na muumba nije niwe mtu mkubwa saana, kama Jesus, Buddha, Sina doa wala dhambi halisi...
Mimi ni walking saint
Hivi hua mnadhani kila mwanamke ni wa vizinga😁Usipo fanya unajiepeusha mizinga, ukimwi , kaswende , kisonono , UTI , hepatitis na nk ,
Sio kila mwanamke ana msururu wa kuni zinazomuweka watu wametulia bwasheukifanya unapingwa vizinga , unachanganywa na vidume 300 mnaoshea sehemu moja , na kujiweka kwenye hatari ya magonjwa , ndio maana ukijiepusha unaonekana kipanga
HAYA NDIO MASHARTI ULIYOPEWA ILI UWE TAJIRI AU SIO?Faida nilizopata ni nyingi Sana
Mimi sio yule wa mwaka 2025 -july najishukuru,
Hamu ya sex sometimes ilikua kali sana ila nilifanya mazoezi makali Gym na kufikiria mambo magumu yasiyo na majibu kwenye real world
no waymimi mara ya mwisho kusex ni mwaka jana mwezi wa 6 bila shaka ni mwaka na mwezi mmoja halafu niko poa tu
Nataka kusema hakuna ushuja wowote kukaa huo muda bila sex wala hakuna pongeziUnataka kusemaje
Hitaji langu la moyo ni kupaa kwenda mbinguni na kwa acha wazinifu kama nyie wakiungua moto wa milelehongera sana, ukapate hitaji la moyo wako
Kutulia sidhani, sema suuu kama bado bikra ipo?Hivi hua mnadhani kila mwanamke ni wa vizinga😁
mimi usipotoa pesa mwenye sikuombi labda niwe karibu kufa
Na inanilinda kutopandwa kicwani
Sio kila mwanamke ana msururu wa kuni zinazomuweka watu wametulia bwashe
Bwashee Suuuuuuu😁Kutulia sidhani, sema suuu kama bado bikra ipo?
🤣🤣🤣 huwezi kupinga namna hiyoKila mwanamke lazima utoboke mfuko, akikupa bure jua karudisha tu mpira nyuma ili timu ijipange upya
SanaAnaonekana mtamu sanaa huyu binti.