!??Ni haki yako kuhisi hivyo nakumbuka nilifilisika mwaka 2020 nikafunga maduka yote mawili huku nadaiwa...duka la kwanza nikidaiwa milion 12 na duka jingine nikidaiwa milion 7 na madeni hayo yalikuwa ni bidhaa nilizokakopa kwa hayo makampuni(mali kauli) bila shaka waliopo mtwara mjini sokoni washanijua ....na pia nikidaiwa pango la miezi 10 ambayo ni milion 2.. mke akaanza usaliti wa waziwazi kabisa ila baadae nikaja kujua ukweli kuwa hakuwahi kunipenda ila akijilazimisha tu kwa miaka yote tuliyoishi pamoja yeye alikuwa na mtu wake...baada ya hayo yote nikakimbia mji nikahamia sehemu nyingine nilikaa mwaka na miezi miwili bila kusex