ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Wewe huyo etDate na mimi ili nipate risiti ya haya maelezo, kinyume na hapo itaonekana unajimegea minyama.
Wewe huyo etDate na mimi ili nipate risiti ya haya maelezo, kinyume na hapo itaonekana unajimegea minyama.
na toka umebalekhe umewahi kufika miaka mingapi mpaka umekutana na mwanamke.Nikijikaza sana labda minne
Pole sana mkuu saivi si umeanza walau kupata mwanga kwenye hustling zakoNi haki yako kuhisi hivyo nakumbuka nilifilisika mwaka 2020 nikafunga maduka yote mawili huku nadaiwa...duka la kwanza nikidaiwa milion 12 na duka jingine nikidaiwa milion 7 na madeni hayo yalikuwa ni bidhaa nilizokakopa kwa hayo makampuni(mali kauli) bila shaka waliopo mtwara mjini sokoni washanijua ....na pia nikidaiwa pango la miezi 10 ambayo ni milion 2.. mke akaanza usaliti wa waziwazi kabisa ila baadae nikaja kujua ukweli kuwa hakuwahi kunipenda ila akijilazimisha tu kwa miaka yote tuliyoishi pamoja yeye alikuwa na mtu wake...baada ya hayo yote nikakimbia mji nikahamia sehemu nyingine nilikaa mwaka na miezi miwili bila kusex
fatilia vizuri utaelewa kinacho endelea utajua.Sijui mimi nimezeeka maana asilimia kubwa conversation za watu hapa huwa sielewi wanazungumzia vitu gani! Ni nyuzi nyingi tu nikishaona sijui min-me and the like mara chache sana kuwaelewa
after being matured, how many years you seat without sexing, till you the first day you sex.Sjakuelewa
nahisi referee alikua kalewa muda huo au vipi.nilicheza rafu nyingi tu tho last year 2025-july nikastop mpaka now
Ni utamu ikiwa demu hanuki chini.Yaan utam woteee ule niuache hiiiiii????Ama kuna watu mnajua kujitesa ...nyie ndo baadae zikiwapanda utasikia kuna jemba imekutwa inamtafuna kuku😃ama imembaka b kikongwe ,,,,,
Safi hizo chotara zitakua tamu sana !Unadhani anashindwaje kuja
Sijakutishia mbona🤷♀️🤷♀️🤷♀️Nataka niishi na wewe vizuri ila unaruka ruka kunitishia shindii