venchwa
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 2,222
- 3,160
Mama mwili si wako mamaaaKwanini watu waniamulie mwili wangu
Mama mwili si wako mamaaaKwanini watu waniamulie mwili wangu
Hakika'Noma kiongozi mapenz ni unafiki mno ila Kuna muda tunafeli wanaume wenyewe
Sio rahisi ujue Nina mwezi sijagonga Wala sijapiga mondi, yaani ni kama mwaka 😔😔Aisee Sex mnaichukuliaje sijui🤔 so ukifanya kuna ubaya gani kwamba hata usipofanya ionekane ni ushujaa
Money come and go, I'ma keep you foreverWewe huyo et
🤣🤣🤣Money come and go, I'ma keep you forever
Safiii wewe unakula na kushiba 🤣🤣Sio rahisi ujue Nina mwezi sijagonga Wala sijapiga mondi, yaani ni kama mwaka 😔😔
Sio rahisi unaenda bar na hulewi huku mapenzi nimeachia ngazi ni ngumu sanaSafiii wewe unakula na kushiba 🤣🤣
Mungu mkubwa kaka mambo yanasonga vizuri tu japo sijamaliza madeni yote ila mtwara naenda tu bila hofu yeyote ile sio kama mwanzo...Pole sana mkuu saivi si umeanza walau kupata mwanga kwenye hustling zako
PoleSio rahisi unaenda bar na hulewi huku mapenzi nimeachia ngazi ni ngumu sana
Kwanini tushindwe ba mtu?