Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

Faida nilizopata ni nyingi Sana

Mimi sio yule wa mwaka 2025 -july najishukuru,

Hamu ya sex sometimes ilikua kali sana ila nilifanya mazoezi makali Gym na kufikiria mambo magumu yasiyo na majibu kwenye real world
Tangu uwe mwanachama hai wa CHAPUTA naona sasa unapepea tu 🔥.
 
Back
Top Bottom