Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

Faida nilizopata ni nyingi Sana

Mimi sio yule wa mwaka 2025 -july najishukuru,

Hamu ya sex sometimes ilikua kali sana ila nilifanya mazoezi makali Gym na kufikiria mambo magumu yasiyo na majibu kwenye real world
Hizo siyo faida zitokanazo na kujinyima sexy bhana, tupe faida kisayansi ili watu wakuelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…