Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

Precautions ni muhimu sana wakati wa kutafuta mke,
 
Kwamba unamaanisha sex ndo ilifanya uwe na madeni!!

Au unataka kumaanisha Nini
 
Ni kweli inawezekana mimi niliwahi kukaa miaka miwili bila sex lakn ndani yake sikukaa kizembe saa kumi na moja kamili alfajiri nakimbia kilometa 10 nenda rudi jumla km 20 nikirudi mazoez kidg ya viungo naingia kwenye harakati... Jion mazoezi ya viungo kidg na gym kwa saana mpka nkapata ngiri ya kuvimba kwasababu ya kunyanyua vitu vizito
Hivyo kila kitu kinawezekana ni maamuzi tu
 
πŸ‘Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…