Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
Dogo uafisa utakushinda, yaani umepewa kamisheni leo saa nane saiv ushaingia kwenye mitandao kushukuru.Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
hiyo hongera si ungeitoa tu moja kwa moja 🤣🤣Kuonea watu, wanajeshi mnaonea raia badala ya kwenda congo mkaonesha ubabe. All in all HONGERA SANA
Itabidi ubadili na Jina ili kumbukumbu ikae sawa.Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Be strong and faithful to you, your family and Nation.Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Unataka wafanye nini? Unataka wavunje kiapo!hamna msaada Kwa nchi zaidi ya vyeo vya uchawa ,mnalinda nini wakati wananchi wameporwa rasilimali zote?Nataka kufa Kwa ukweli wanajeshi wa watanzania ni hopeless
Jambo Afande.Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Taarifa hizo ni "public", ila naungana na aliyesema mitandao haikufai unless umo humu kikazi. Kama haumo humu kikazi mitandao inaweza kukufanya ukasota saana huko jeshini. Kumbuka milango imefunguliwa kwako na uwezezekano hata wa kuwa mkuu wa majeshi sasa upo, lakini ukikaa humu mitandaoni utafikisha miaka 60 na nyota mbili au tatu na utaishia kulichukia jeshi. Kijana, "Keep Away from Mitandao".Wewe huna maadili ya Kijeshi kabisa na huna kifua cha kukaa Jeshini. Hulali na jambo tayari ushakimbilia mtandaoni kuanika?? Watoto wa Single Mothers mna matatizo sana. Jifunze kuishi misingi ya kijeshi achana na kutafuta sifa kwa raia
Hongera sana,ukija uraiani usianje mazoezi ya kupiga raia piga bustani kwa jembe,Mungu atakuinuaNamshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Usimtishe bwana,mitandao Ina shida Gani?Taarifa hizo ni "public", ila naungana na aliyesema mitandao haikufai unless umo humu kikazi. Kama haumo humu kikazi mitandao inaweza kukufanya ukasota saana huko jeshini. Kumbuka milango imefunguliwa kwako na uwezezekano hata wa kuwa mkuu wa majeshi sasa upo, lakini ukikaa humu mitandaoni utafikisha miaka 60 na nyota mbili au tatu na utaishia kulichukia jeshi. Kijana, "Keep Away from Mitandao".
Hahahah! Hivi mnakula kiapo cha kulinda katiba. Chichiemu wanaifinyanga katiba, wanaiba kura nyie wenzetu mnalinda katiba gani?Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Acha wivu pimbi wwWewe huna maadili ya Kijeshi kabisa na huna kifua cha kukaa Jeshini. Hulali na jambo tayari ushakimbilia mtandaoni kuanika?? Watoto wa Single Mothers mna matatizo sana. Jifunze kuishi misingi ya kijeshi achana na kutafuta sifa kwa raia
Kwani unamfahamu!!? Acha wivuYaani kuwa usu unajitangaza kiasi hicho. We askari au raia kama unataka matangazo ungeenda kuwa msanii.
Askari gani hujitambui wewe Andre-Pierre
Nimuone wivu Mjinga huyu ni raia anatengeneza mazingira ya kuwapiga watu tukioKwani unamfahamu!!? Acha wivu
Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Katoa taarifa...Uliambiwa uje kupost huku??