Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

Hahaha mbona umempa kitu cha kawaida sana ambavyo ata NCO makini anavielewa mpe vya level yake utagundua kipi ni kipi.
 
Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.

Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Statement hii inaonyesha kibri na majivuno vikivyojaa ndani yako. Kwamba ukiwa Private, Kpl, Sgt, au SM huwezi kutumikia nchi mpaka upate hiyo nyota moja? Mbona mnapotoka Kwa dharau kiasi hiki? Kama unakuja humu kutambia nyota moja je huko kazini kwako si maSGT wanakukoma?
 
Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.

Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Sawa, Mkuu. Jukumu lako mojawapo ni Kuliñda Rasilimali za Nchi na Wananchi wake.
Unatuambia Nini kuhusu Bandari zetu na Ngorongoro kwenda Kwa Waarabu ?? [emoji35][emoji35]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Wewe huna maadili ya Kijeshi kabisa na huna kifua cha kukaa Jeshini. Hulali na jambo tayari ushakimbilia mtandaoni kuanika?? Watoto wa Single Mothers mna matatizo sana. Jifunze kuishi misingi ya kijeshi achana na kutafuta sifa kwa raia
Hakuna tatizo lolote kama ni kweli anachosema, hakuna siri yeyote ya kuweka kifuani katika kupanda cheo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…