njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Mimi si mtabiri ila kwa ulichokiandika wewe ni askari mana umepiga kwenye mshoni😂😂😂Utaishi kwa madeni mpaka ufe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi si mtabiri ila kwa ulichokiandika wewe ni askari mana umepiga kwenye mshoni😂😂😂Utaishi kwa madeni mpaka ufe
Hawezi kuwa afisa huyu hata kidogo hata chembe na kama ni kweli narudia kama ni kweli TUMEISHA.This is rubbish!!!! Jeshi ndio limefika hapa??
Hongera sana, umepitia vikwazo na hatari nyingi hadi kufuzu.Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Swali zuriUliambiwa uje kupost huku??
ExactlyGaguti aliwaambia muachane na mitandao ya kijamii.
Mkuu umeona upasue tu 😂Utaishi kwa madeni mpaka ufe
Right information in a wrong place.Mkuu, mbona mdau hajafanya josa lolote? Wewe hufurahii kusikia mafanikio ya mwenzako?
Usije kuja uwaa raia kitaani kama wenzio wa Mtwara na kwengineko huko!!Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Huyu ni 98% tapelimmemkalia kooni mtoa mada mpaka kapotea
Hpna Ni muasibu ila hana CPA mkp sasaMimi si mtabiri ila kwa ulichokiandika wewe ni askari mana umepiga kwenye mshoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni dalili za ukosefu wa nidhamu!Uliambiwa uje kupost huku??
Wapo bize kufyeka nyasi huko makambini kwao. Jeshi la sita kwa ubora duniani! 👏👏👏👏Bandari zinaporwa wao wako wanaangalia!
hongera sana. sasa tunakutaka uende Gaza ukaokoe mtanzania mmoja aliyebaki.Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Kuna siku nmeenda harusi kwenye ukumbi wa jeshi pale mgulani.... Muda wa kutoka sijui hata wale wajeda niliwakosea nini nasikia chuchumaa mara kaa... Wanajeshi mafala sana kenge...Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.