Mimi nikiwa darasa la tano 1999 kuna afande alikuwa luteni amestaafu 2019/2020 akiwa Meja. Sijui shida ilikuwa nini hakupanda?Hongera kijana, ndani ya miaka 30 tayari Generali.
Fuata tu masharti ya Geshi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nikiwa darasa la tano 1999 kuna afande alikuwa luteni amestaafu 2019/2020 akiwa Meja. Sijui shida ilikuwa nini hakupanda?Hongera kijana, ndani ya miaka 30 tayari Generali.
Fuata tu masharti ya Geshi.
Nimeshangaa Sana Sana Ila Tutaujua Ukweli Tu Ni Suala La MudaUliambiwa uje kupost huku??
Kwanini huko Congo wasijifunze nao kujilindaKuonea watu, wanajeshi mnaonea raia badala ya kwenda congo mkaonesha ubabe. All in all HONGERA SANA
Hahaha mbona umempa kitu cha kawaida sana ambavyo ata NCO makini anavielewa mpe vya level yake utagundua kipi ni kipi.Tutakuamini vipi kama ulichotuambia ni kweli kila mtu anajua leo Rais alikuwa anatoa kamisheni sasa naona na wewe umeamua ujipandishie humo humo.Kama wewe kweli ni Afisa wa JWTZ niambie nani huwa anaongoza Platoon,nani anaongoza kampani,nani anaongoza regiment na nani anaongoza division
Hongera sàna Mlinzi wa Taifa.Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Safi sana, Hongera 2nd Lt.Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Statement hii inaonyesha kibri na majivuno vikivyojaa ndani yako. Kwamba ukiwa Private, Kpl, Sgt, au SM huwezi kutumikia nchi mpaka upate hiyo nyota moja? Mbona mnapotoka Kwa dharau kiasi hiki? Kama unakuja humu kutambia nyota moja je huko kazini kwako si maSGT wanakukoma?Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Hongera sana,ila sasa usiende kupiga piga watu hovyomtaani kisa unalipiza kisasi.Your a professional corps now.Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Hongera sana Kamanda.Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Aiseeee, shida nnini bro?Utaishi kwa madeni mpaka ufe
Hivi siku hizi jamaa ni nani?Ngoja Gaguti akipita huku 😁😁😁
Sawa, Mkuu. Jukumu lako mojawapo ni Kuliñda Rasilimali za Nchi na Wananchi wake.Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
AhaaHahaha mbona umempa kitu cha kawaida sana ambavyo ata NCO makini anavielewa mpe vya level yake utagundua kipi ni kipi.
Karibu katik ufasi uandamiz wa Jeshi,Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahyo luteni unatafuta wa kuwatapeli humu kwamba utawaunganisha jeshini[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo sio ushauri wa kuzingatia, mitandao ya kijamii ni muhimu sana kumpa mtu exposure na kupunguza ushamba.Gaguti aliwaambia muachane na mitandao ya kijamii.
Hakuna tatizo lolote kama ni kweli anachosema, hakuna siri yeyote ya kuweka kifuani katika kupanda cheo.Wewe huna maadili ya Kijeshi kabisa na huna kifua cha kukaa Jeshini. Hulali na jambo tayari ushakimbilia mtandaoni kuanika?? Watoto wa Single Mothers mna matatizo sana. Jifunze kuishi misingi ya kijeshi achana na kutafuta sifa kwa raia