Hatimaye nimekuwa milionea, msaada wenu

Hongera mkuu,kweli kila mbuzi hula urefu wa kamba yake,ww waweza sema kidogo kumbe mwenzako kinamtosha!
 
Inaonekana bado uko ndotoni 😛 😛 kapicha basi tuone milioni ikoje!
 
Vipi ulipiga mishe gani mkuuu!! Mabaharia tupo wengi ila dizaini tunashika hazifiki[emoji1787][emoji1787]
Nina kishop kidogodogo hiko mkuu ndo kimenipa jeuri, ila mchawi saving
 
Hahaha, nimecheka hapo kwenye kubadili style ya kuongea.

Hata kuandika inaonekana umeandika kwa utulivu sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio poa mkuu
 
Kumbe ukiwa na milioni moja mkononi tayari ni milionea, basi wacha niendelee kuzichanga nami nifikie umilionea.
Hongera sana mkuu
Ahsante, ndio ukifkisha milioni tu ww ni milionea
 
sasa na hii weekend unaenda kuzipunguzia wapi? mimi nitakuwa bodigadi mr. millionea
Mkuu unataka jitihada za siku zote niziharibu siku moja[emoji24][emoji24]
 
Nakuona unavyoangalia watu kwa dharau huku ukijisemea moyoni "Una milioni we choko"
Hahahahahah...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tafuta kwanza bodyguard...[emoji1787]
 
Sawa kaka. Nashukuru kwa kunijibu
[emoji24][emoji24][emoji24] So sorry mkuu,
Am in limited situation for now, may be I will help u on another day[emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…