Hatimaye nimekuwa milionea, msaada wenu

Your personal details, cjui ungependezewa iwe wap
hata hapa ili mradi nipate hiyo kazi, hope bado u millionea unao nisije kuwa bodi gadi wa lakionea
hahahahhahaa
 
Weee sitaki nirudi tena huko, kwanza niambie utapafom vp kaz yako kama bodyguard?
 
Weee sitaki nirudi tena huko, kwanza niambie utapafom vp kaz yako kama bodyguard
niitakulinda tu popote uendapo ili kukunusuru na mapaka shume

mimi sihitaji malipo,,,of course na wewe utanieleza unataka ulindwe vipi mkuu,,niko tayari kufuata maelekezo
 
Vizuri, ila nitataka nikuongezee majukumu
Uwe bodyguard, designer pia uwe mshauri wangu au unasemaje?
 
hapo itabidi unilipe sasa, mimi u bodigadi nimejitolea tu
 
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Nipe uzoefu wako kwanza kwenye ubodyguard
 
Mtafute Sepenga nenda naye kule Nungwi Zanzibar kwanza kama siku tatu halafu uje tukupe ushauri mwingine
 
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Nipe uzoefu wako kwanza kwenye ubodyguard
nina experience ya zaidi ya miaka 15 kwenye kazi hii

Yaani nilisha kuwa bodigadi wa bilionea mwaka juzi na alitoboa maisha

kwani umesema nitoe uzoefu ngapi mkuu? maana hujaweka masharti
 
Nipe matukio yako mawili matatu ya kibabe bhac ukiwa katika harakat zak za kumlinda boss
 
Hongela mkuu
 
Kwani kushika million ndio wanashikaje?!

Maana mi nishashika Hadi million 6 lkn zilikuwa za mkopo[emoji38][emoji38]
 
Hizo zilikuwa negative mkuu, tunazungumzia kuanzia 1 million positive
 
Mpigie chenge atakupa ushauri na hiyo hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…