Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We uko serious au unaota!!???Utoke Division 4:31 karibu na zero,upande mpaka 1:14?!!Au nimeangalia vibaya!!??
Huu ni uongo na haiwezekani, wa kwangu alikuwa na III 24 masomo math na phs alipata f, sasa kapata d na ameachwa hapohapo kwenye iii ila kombi zimekubali. 4 kwenye 1 ni uzushi na kujipa moyokumbe umepiga st anthony's mbagala mkuu unamjua deusdedit manyama
Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata DIV 4 ya 31 hatimaye matokeo mapya yametoka nina DIV I point 14 nina uhakika wa kwenda A'level. Daaah Nimetisha wakubwa. Kuna masela walikuwa wanapiga msuli wa kutisha wamegonga O (ZIRO) ha ha ha!!! Ngoja nikajipongeze daaaahhhhh. MZUKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!
Kijana futa kauli na omba msamaha...Nimeongea na Mshua kasema nichague shule yoyote ya A'level atanilipia. Mi nachagua kubaki St. Antony maana ndo ninapopaamini sitaki kwenda kwenye hiyo mishule yao ya Government mi-walimu ya huko full Stress lijitu halijalipwa mshahara linakuja kuwamalizia hasira wanafunzi class
Aine umepata link? naomba na mimi nataka nitazame!matokeo mapya tunaangaliaje, please nisaidieni
kama huamini angalia
Naingia A'level kwa mbwembwe tena shuleni wameniambia naweza kurudi hapo hapo A'level hakuna haja ya kwenda mishule ya Serikali.
[TD="width: 58%"][/TD]
S053****
[TD="width: 4%"] M [/TD]
[TD="width: 6%"] 14 [/TD]
[TD="width: 4%"] I [/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-B HIST-B GEO-C KISW-B ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B [/TD]