HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

We uko serious au unaota!!???Utoke Division 4:31 karibu na zero,upande mpaka 1:14?!!Au nimeangalia vibaya!!??

...inawezekanaaa, kwa ari yetu mpya tuliyonayo,na nguvu tulizonazo tunaweza kuongeza kasi mpya ya ufaulu wa wanafunzi wetu...
 
kumbe umepiga st anthony's mbagala mkuu unamjua deusdedit manyama
Huu ni uongo na haiwezekani, wa kwangu alikuwa na III 24 masomo math na phs alipata f, sasa kapata d na ameachwa hapohapo kwenye iii ila kombi zimekubali. 4 kwenye 1 ni uzushi na kujipa moyo
 
haya ndo mambo ya kujaribu kujijenga kisiasa na kubomoa elimu, si shangazwi sana kwa hilo coz viongozi walioko madarakani ni wafa maji so kutapatapa lazima!:heh:
 
dogo kumbuka matokeo hayaja sahishwa upya...walicho fanya ni kubadili grade mfano kutoka 0-34 F kurudi 0-21 F..
kwa mtindo huo wani utaupataje? wakati ulikuwa na IV ya 31?..
 
Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata DIV 4 ya 31 hatimaye matokeo mapya yametoka nina DIV I point 14 nina uhakika wa kwenda A'level. Daaah Nimetisha wakubwa. Kuna masela walikuwa wanapiga msuli wa kutisha wamegonga O (ZIRO) ha ha ha!!! Ngoja nikajipongeze daaaahhhhh. MZUKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!

mmh na feel ngwealism hapa haaaaaaaaa akuna wenye kubadilisha matokeo kama hayo labda wizara anakaimu semeji pole hii ni jamii wa kuforum sio unowajua
 
Nimeongea na Mshua kasema nichague shule yoyote ya A'level atanilipia. Mi nachagua kubaki St. Antony maana ndo ninapopaamini sitaki kwenda kwenye hiyo mishule yao ya Government mi-walimu ya huko full Stress lijitu halijalipwa mshahara linakuja kuwamalizia hasira wanafunzi class
Kijana futa kauli na omba msamaha...
Wanaofundisha huko St. si ndo hawa hawa WALIMU waTZ?!
 
kama huamini angalia

[TD="width: 58%"]
S053****

[TD="width: 4%"] M [/TD]
[TD="width: 6%"] 14 [/TD]
[TD="width: 4%"] I [/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-B HIST-B GEO-C KISW-B ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B [/TD]
[/TD]
Naingia A'level kwa mbwembwe tena shuleni wameniambia naweza kurudi hapo hapo A'level hakuna haja ya kwenda mishule ya Serikali.

kwanini haukuficha namba yako hiyo inayoanzia S hata kutoa vinamba namba au yote?
 
Na Wazazi wako wanakusifia?? Na si ajabu utapewa zawadi
 
Huu ni uwongo uliokithiri!
hatakama ni kubebwa ushift kutoka 4 hadi 1. Kama umekosa cha kuandika kaa ujipange itakua lamaana na co kukurupuka, poa dogo!
 
dogo umefaulu vipi kama hata unashindwa kutumia kaubongo kidogo ili kung'amua ukweli, acha kupotosha ukweli dogo matokeo yako ya zamani ni haya hapam Division 1 ya 16 with Civics C, History C, Geography c, Kiswahili C, English B, FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B acha ujinga dogo kwa namba uliyotoa, inavyoonekana hata yale ya awali ulidesa kwa jamaa
 
Necta->Wewe & -Necta
.'. -Wewe
hapo dogo mim nimeprove by Fallacy of Denying the Hypothesis
bila hivyo naona sasa Hakukua na Haja ya wewe kuitegemea Necta Lasivyo Hatuna Necta...
Mbururalization Imefanyika mwaka huu.... Hongereni kwa kumbururwalizi na Necta
 
Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata DIV 4 ya 31 hatimaye matokeo mapya yametoka nina DIV I point 14 nina uhakika wa kwenda A'level. Daaah Nimetisha wakubwa. Kuna masela walikuwa wanapiga msuli wa kutisha wamegonga O (ZIRO) ha ha ha!!! Ngoja nikajipongeze daaaahhhhh. MZUKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!

sina hakika na ufaulu wako wewe mwanafunzi..:A S-fire1:
 
Back
Top Bottom