HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

hawa watoto ndo wansumbuaga humu kwenye jukwaa la siasa, hata kuandikishwa kwenye daftari la kupigia kura bado, wana nusu uraia
 
kama huamini angalia

[TD="width: 58%"]
S0534/0130

[TD="width: 4%"] M [/TD]
[TD="width: 6%"] 14 [/TD]
[TD="width: 4%"] I [/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-B HIST-B GEO-C KISW-B ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B [/TD]
[/TD]
Naingia A'level kwa mbwembwe tena shuleni wameniambia naweza kurudi hapo hapo A'level hakuna haja ya kwenda mishule ya Serikali.
halafu hiyo ni centre number ya St Anthony's ? siku hizi mzee Lwegelela na Mbungu wanawaachia mnafanya mnavyotaka basi tabu tupu..... haya jitahidi ...Form six hakutakuwa na MIUJIZA mdogo wangu
 
mtu yoyote mwenye majigambo ukimpitisha kwenye vipimo haumkosa na mtindio wa ubongo
Nashangaa mtu mwenye kautindio ka ubongo kafaulu vipi!
 
Bado una division 0 hiyo hiyo. Iyo ya pili sio hadhi yako, umepewa na si jasho lako.
 
mnaochonga kuwa tumependelewa poa tu si ndo tunajiandaa kuingia A'level hapo ndo nitakomaa mpaka nigonge Div I ya Point 3 Fom 6.

Hongera dogo......Kakaze msuli ili one iwe original na si ya standardization tena!
 
Sasa kumbe uliomba halafu baada ya Mungu kukujibu umeanza kujisifu badala yakumrudishia utukufu yeye! Sasa subiria huko mbeleni uone utakavyozungusha! Mungu amesema hagawani utukufu na mwanadamu wala hatawapa sanamu sifa zake!


Hakika maombi yanajibu jamani nilifunga na kuomba baada ya kufeli kwa kweli nilichanganyikiwa
 
Huyu Kilaza asiturushe roho hapa matokeo ya awali ya hiyo namba ni
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 0"]
[TR]
[TD="width: 6%"]
S0534/0130
[/TD]
[TD="width: 4%"]
M
[/TD]
[TD="width: 6%"]
16
[/TD]
[TD="width: 4%"] I[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-C HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

na matokeo mapya ni
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 0"]
[TR]
[TD="width: 6%"]
S0534/0130
[/TD]
[TD="width: 4%"]
M
[/TD]
[TD="width: 6%"]
14
[/TD]
[TD="width: 4%"] I[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-B HIST-B GEO-C KISW-B ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa anachokiandika haya sio matokeo yake.
CC andreakalima MC Tilly Chizenga, biee, Mtoboasiri, hekimatele, Likwanda, Masanilo, bily, BHULULU ITEGAMATWI, THE GREAT CAMP, issawema, mafinyofinyo, Paul Kinala, mdeki, Yaledi julius, SN.BARRY, gasper Lasway, Aine, Mwanadiplomasia, Changassy, @Nyagluu.

Mkuu nakushukuru sana kwa kuweka ukweli hadharani. Hii inaonyesha aina ya Vijana tulionao nyakati hizi. Namtakia kila lakheri katika uongo wake.Ila akumbuke njia ya muongo ni fupi. Dogo anatakiwa atutake radhi. Vinginevyo itakula kwake, sisi ni watu wazima hawezi kutudanganya namna hiyo na inaonyesha huyu mtoto atakuja kuwa mchochezi mkubwa katika nchi hii. Maana hapa alitaka kutumika kuichonganisha NECTA na Wananchi.
 
mtu yoyote mwenye majigambo ukimpitisha kwenye vipimo haumkosa na mtindio wa ubongo
Nashangaa mtu mwenye kautindio ka ubongo kafaulu vipi!

Nilisoma na watu kama hao MUHIMBILI kilichotokea 2nd year wakamla kichwa.
 
Jaman Tanzania hii yetu inaenda wapi??? kutoka vi 4 hadi div.1 c mauza uza haya jaman???
 
Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata DIV 4 ya 31 hatimaye matokeo mapya yametoka nina DIV I point 14 nina uhakika wa kwenda A'level. Daaah Nimetisha wakubwa. Kuna masela walikuwa wanapiga msuli wa kutisha wamegonga O (ZIRO) ha ha ha!!! Ngoja nikajipongeze daaaahhhhh. MZUKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!

Kama ni kweli basi tambua kuwa si bure kuna aliyekutangulizia kimemo ama zaidi ya hilo
 
Daah hii ni kashfa ya KARNE div 4: 31 to Div I:14???? kaazi kweli kweli.
Usidanganyike na huyu bwana mdogo, matokeo ya kwanza alikuwa na DIV I ya point 16, wakati matokeo ya jana amepata DIV I ya point 14.

Matokeo ya awali ya hiyo namba ni
S0534/0130

M

16 I CIV-C HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B

na matokeo mapya ni
S0534/0130

M

14 I CIV-B HIST-B GEO-C KISW-B ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B

Alichofanya hapa ni kujitangazia ulimbukeni. Je angepata DIV I ya point 7 kama wengine si angetembea uchi mitaani.
 
Acha kupiga mayowe acha waone wenyewe.......komaa kijana ka ukienda a-level na fungate la division one wenzio wa three wataongeza msuri na six wataibuka na one afu we ,,,()(,,,,,,,,,)......ni ushauri tu tusijenge bifu........(mungu amlaze mahali pema ngwair.......amina)
 
Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata DIV 4 ya 31 hatimaye matokeo mapya yametoka nina DIV I point 14 nina uhakika wa kwenda A'level. Daaah Nimetisha wakubwa. Kuna masela walikuwa wanapiga msuli wa kutisha wamegonga O (ZIRO) ha ha ha!!! Ngoja nikajipongeze daaaahhhhh. MZUKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!

Uongo mtakatifu
 
Back
Top Bottom