Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
hawa watoto ndo wansumbuaga humu kwenye jukwaa la siasa, hata kuandikishwa kwenye daftari la kupigia kura bado, wana nusu uraia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu hiyo ni centre number ya St Anthony's ? siku hizi mzee Lwegelela na Mbungu wanawaachia mnafanya mnavyotaka basi tabu tupu..... haya jitahidi ...Form six hakutakuwa na MIUJIZA mdogo wangukama huamini angalia
Naingia A'level kwa mbwembwe tena shuleni wameniambia naweza kurudi hapo hapo A'level hakuna haja ya kwenda mishule ya Serikali.
[TD="width: 58%"][/TD]
S0534/0130
[TD="width: 4%"] M [/TD]
[TD="width: 6%"] 14 [/TD]
[TD="width: 4%"] I [/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-B HIST-B GEO-C KISW-B ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B [/TD]
Daah hii ni kashfa ya KARNE div 4: 31 to Div I:14???? kaazi kweli kweli.
mnaochonga kuwa tumependelewa poa tu si ndo tunajiandaa kuingia A'level hapo ndo nitakomaa mpaka nigonge Div I ya Point 3 Fom 6.
Hakika maombi yanajibu jamani nilifunga na kuomba baada ya kufeli kwa kweli nilichanganyikiwa
Huyu Kilaza asiturushe roho hapa matokeo ya awali ya hiyo namba ni
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 0"]
[TR]
[TD="width: 6%"][/TD]S0534/0130
[TD="width: 4%"][/TD]M
[TD="width: 6%"][/TD]16
[TD="width: 4%"] I[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-C HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
na matokeo mapya ni
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 0"]
[TR]
[TD="width: 6%"][/TD]S0534/0130
[TD="width: 4%"][/TD]M
[TD="width: 6%"][/TD]14
[TD="width: 4%"] I[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-B HIST-B GEO-C KISW-B ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwa anachokiandika haya sio matokeo yake.
CC andreakalima MC Tilly Chizenga, biee, Mtoboasiri, hekimatele, Likwanda, Masanilo, bily, BHULULU ITEGAMATWI, THE GREAT CAMP, issawema, mafinyofinyo, Paul Kinala, mdeki, Yaledi julius, SN.BARRY, gasper Lasway, Aine, Mwanadiplomasia, Changassy, @Nyagluu.
wewe hata ukija kuwa dokta utakuwa walewale madokta mtu anaumwa mguu unamfanyia operesheni ya kichwa!
mtu yoyote mwenye majigambo ukimpitisha kwenye vipimo haumkosa na mtindio wa ubongo
Nashangaa mtu mwenye kautindio ka ubongo kafaulu vipi!
bado una division 0 hiyo hiyo. Iyo ya pili sio hadhi yako, umepewa na si jasho lako.
Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata DIV 4 ya 31 hatimaye matokeo mapya yametoka nina DIV I point 14 nina uhakika wa kwenda A'level. Daaah Nimetisha wakubwa. Kuna masela walikuwa wanapiga msuli wa kutisha wamegonga O (ZIRO) ha ha ha!!! Ngoja nikajipongeze daaaahhhhh. MZUKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!
Usidanganyike na huyu bwana mdogo, matokeo ya kwanza alikuwa na DIV I ya point 16, wakati matokeo ya jana amepata DIV I ya point 14.Daah hii ni kashfa ya KARNE div 4: 31 to Div I:14???? kaazi kweli kweli.
Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata DIV 4 ya 31 hatimaye matokeo mapya yametoka nina DIV I point 14 nina uhakika wa kwenda A'level. Daaah Nimetisha wakubwa. Kuna masela walikuwa wanapiga msuli wa kutisha wamegonga O (ZIRO) ha ha ha!!! Ngoja nikajipongeze daaaahhhhh. MZUKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!