Gosh, you are literally the luckiest woman in the entire world.
This is so wholesome. OMG, what a sweet guy.
Dear OP, I am genuinely happy for you.Wish you guys all the best.
Thank you for sharing.
Kiuhalisia, huyo mwanaume hujampenda toka moyoni na hujavutiwa nae kingono, umemvulia nguo kwasababu ana hela na anakupa pesa za bure, huyo mwanaume asiengekua na hela usingeandika huu uzi..na wala usingemkubali
Kama hii story sio chai, basi huyo mwanaume ni fala wa kiwango cha lami, miminimama
Kumekucha ila hongera.
Af tukisema hamna mwanamke mgumu mbele ya hela mnashupaza shingo. Hela ikiwekwa mfululizo hata bf wako unamsahau kwa muda
😀😀😀😀huyo mdada uliemtaja ana stress za maisha
Una stress wewe
Angalizo: Asiwe mume wamtu utarogwa kubleed maisha yako yoteee
Nimeinukuu hii 😝😝😝
Mpaka sasa ushatombana sana km WolperSijui niandike nini.
Kwakweli ..huyu kapata sponsor naona atakua alifuata maelekezo ya yule mleta Uzi wa namna ya kumpata sponsor..
Angesifia utu wake na anavyomjali mtoto wake... Lakini yeye kajikita zaidi kwenye pesa...na ajue zinakotoka..
Maana wakina Shamim Mwasha wapo jela kwa sababu ya waume zao kufanya Mambo ya ajabu kupata pesa.
Mkuuu hatuishi maisha haya kwa kuogooa kurogwa... Wewe fanya maisha yako..kwa njia HALALI... Ukisemakila hatua unaogopa kurogwa... Khaaa kalagabahoo
Pole hata halikuwa lengo hilo.
Kwa kupata nimepata kweli.
Lengo Ni kuleta mrejesho na watu kutokukata tamaa.
Soma tena basi.
Uelewe.
Hapa unaongopa.
Umejaa sumu sana wewe.
Una shida gani?
Yaan umeshatombeka parefu mpaka leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa dozi ninayopewa hata nguvu na house boy inatoka wap?
Mimi na G.
G na mimi.
Kwa majibu ya aina hii unayowajibu member basi nampa pole sana huyu G wako.
Yaan umeshatombeka parefu mpaka leo
Hatuachani
Hakuna anaechukia furaha yako Mkuu... Ila huo ushuhuda Hebu peleka kanisani... Lakini baada ya ndoa.
Mkuu...Wewe mwenyewe umesisitiza Sana pesa... Kuwa anakupa pesa.. na lengo lake Ni kukufanya millionaire.
Hahaaa I think most guy's don't understand me well humu walla, napinga ukatili wowote and I have always says marriage is beautiful sijui mnakwama wapi kunielewa