Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Hahaaa I think most guy's don't understand me well humu walla, napinga ukatili wowote and I have always says marriage is beautiful sijui mnakwama wapi kunielewa
 
cariha [emoji115][emoji115][emoji115] umemwona mwenzio,humu ww kila siku unatukana wanaume wa JF.
Mimi siko jf kutafta wanaume pia kuandika nipendacho sio kosa so sometimes nyie wanaume mnajitukana kwa jinsi mlivotafsiri vitu, Mimi naandika interpretation yenu
 
Mwee hongera kibonge wetu[emoji7]
I'm happy for you my dear.
Mungu awe nanyi mfunge ndoa tule ubwabwa [emoji3590]
 
George De Job, alikuwa classmate yule toka tuko Forest Hill Sec. alikuwa anaichambua ligi ya England kama analipwa vile [emoji23][emoji23][emoji23] kipindi hiko sijui hata mpira unapendewa nini maana kwangu kero. Jamaa ni Man U toka damuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh kumbe mwamba mpira upo damuni, alaf itakuwa unamjua Sana huyu jamaa ,japo najua orgin yake Ni mbeya je baba ake ndiye Yule alikuwaga mbunge wa Rungwe masharik ? Na saiz Ni marehem alikuwa anaitwa Ambangile Ndepanya
 
Tulianzia Nguzo Primary, jamaa yuko njema kwenye uchambuzi 🤣🤣🤣
 
Siku ukianza kuiamini story Jf jukwaa hili ndio siku utakayofilisika na kupoteza kila kitu. Usije sema hukuambiwa..
 
G amesoma hapa amecheka Sana.
Wanaume wangapi wanapesa lakini hawaonyeshi upendo wala kujali?
G angeweza kunipa au kunitumia pesa bila kuonyesha mapenzi na upendo wake kwangu.
Lakini kwa moyo wake huyu Kaka ananipa vyote.

Wewe unaona sijampenda.
Lakini mwenzako anaona kaokota dhahabu anayotakiwa kuisafisha.
 
Tukipata wapenzi...hebu tutulizane.. penzi likinoga unatamani kuitangazia Dunia.

Tulia enjoy penzi lako... Jipeni muda... Hakuna penzi linaonza vibaya.

Uchumba hautangazwi inatangazwa ndoa
Nakuhakishia hili la kweli ni milele daima.
Lina mwanzo tu halina mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…