cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hahaaa I think most guy's don't understand me well humu walla, napinga ukatili wowote and I have always says marriage is beautiful sijui mnakwama wapi kunielewaMwanzo 3:16
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
Yaani tukiwaambia humu utukufu wa mwanamke ni kwa mwanaume na ndipo ilipo furaha ya kweli ya mwanamke cariha anasema mfumo dume.
Hongera kwa kumpata Baba yako mheshimu na uyalinde maono yake