Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Mwanzo 3:16
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
Yaani tukiwaambia humu utukufu wa mwanamke ni kwa mwanaume na ndipo ilipo furaha ya kweli ya mwanamke cariha anasema mfumo dume.
Hongera kwa kumpata Baba yako mheshimu na uyalinde maono yake
Hahaaa I think most guy's don't understand me well humu walla, napinga ukatili wowote and I have always says marriage is beautiful sijui mnakwama wapi kunielewa
 
cariha [emoji115][emoji115][emoji115] umemwona mwenzio,humu ww kila siku unatukana wanaume wa JF.
Mimi siko jf kutafta wanaume pia kuandika nipendacho sio kosa so sometimes nyie wanaume mnajitukana kwa jinsi mlivotafsiri vitu, Mimi naandika interpretation yenu
 
Mwee hongera kibonge wetu[emoji7]
I'm happy for you my dear.
Mungu awe nanyi mfunge ndoa tule ubwabwa [emoji3590]
 
George De Job, alikuwa classmate yule toka tuko Forest Hill Sec. alikuwa anaichambua ligi ya England kama analipwa vile [emoji23][emoji23][emoji23] kipindi hiko sijui hata mpira unapendewa nini maana kwangu kero. Jamaa ni Man U toka damuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh kumbe mwamba mpira upo damuni, alaf itakuwa unamjua Sana huyu jamaa ,japo najua orgin yake Ni mbeya je baba ake ndiye Yule alikuwaga mbunge wa Rungwe masharik ? Na saiz Ni marehem alikuwa anaitwa Ambangile Ndepanya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh kumbe mwamba mpira upo damuni, alaf itakuwa unamjua Sana huyu jamaa ,japo najua orgin yake Ni mbeya je baba ake ndiye Yule alikuwaga mbunge wa Rungwe masharik ? Na saiz Ni marehem alikuwa anaitwa Ambangile Ndepanya
Tulianzia Nguzo Primary, jamaa yuko njema kwenye uchambuzi 🤣🤣🤣
 
Siku ukianza kuiamini story Jf jukwaa hili ndio siku utakayofilisika na kupoteza kila kitu. Usije sema hukuambiwa..
 
Kiuhalisia, huyo mwanaume hujampenda toka moyoni na hujavutiwa nae kingono, umemvulia nguo kwasababu ana hela na anakupa pesa za bure, huyo mwanaume asiengekua na hela usingeandika huu uzi..na wala usingemkubali

Kama hii story sio chai, basi huyo mwanaume ni fala wa kiwango cha lami, miminimama
G amesoma hapa amecheka Sana.
Wanaume wangapi wanapesa lakini hawaonyeshi upendo wala kujali?
G angeweza kunipa au kunitumia pesa bila kuonyesha mapenzi na upendo wake kwangu.
Lakini kwa moyo wake huyu Kaka ananipa vyote.

Wewe unaona sijampenda.
Lakini mwenzako anaona kaokota dhahabu anayotakiwa kuisafisha.
 
Tukipata wapenzi...hebu tutulizane.. penzi likinoga unatamani kuitangazia Dunia.

Tulia enjoy penzi lako... Jipeni muda... Hakuna penzi linaonza vibaya.

Uchumba hautangazwi inatangazwa ndoa
Nakuhakishia hili la kweli ni milele daima.
Lina mwanzo tu halina mwisho.
 
Back
Top Bottom