Halima Msasambuaji
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 504
- 1,256
Kama ana. Kiba 100ucjal kaka pesa sio kitu
mwanaume MASHINE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ana. Kiba 100ucjal kaka pesa sio kitu
mwanaume MASHINE
hamna kuna viba vngne mashine pia piaKama ana. Kiba 100
mkuu iyo avatar yako na ulivomshauri unaonekana sio mtu mzuri kabisa..hufai kuachwa ata ulale na wtt wadg wakiumemtoto wa kiume unalalamika wakati kitega uchumi unacho umekikalia
Hapana, hana maana hiyo. Bali ametumia tu lugha ya wahenga tu kufikisha ujumbe wa hali yake ya maishaHahahaaaa "huna mbele wala nyuma"....Inamaana huna "pa haja kubwa wala pa haja ndogo"...!!!na umetimiza 30yrs duuuh..!!!sio mtu wewe bali n sheitwaani
Ujumbe mzuri sana huu.If you can't be handsome in twenties.
If you can't be strong in thirties.
If you can't be rich in fourtys.
If you can't be wise in fiftys
Ndugu yangu apo ndo utakuwa umemaliza
Safi sana mkuu,unamoyo/roho ya kusaidia watu kimawazo.
- Kama Upo CHADEMA hamia CCM kisha useme ulikotoka walikucheleweshea sana mafanikio!
- Mlaumu mama kwa kukuzaa wa kiume, mabeto hana umri wako ila ana mbele,nyuma sijui maana mimi si muumini wa pande hizo.
- Kwa mtu uliyekuwa na nidhamu ya unachokifanya na bado umeshindwa kufikia malengo yako hadi sasa ni vyema ukakaa chini na kutafakari upya ni wapi ulipokosea na ni namna gani unaweza kufanya sasa ili kujikwamua!
- Achana na mambo yote ambayo unaona yanakuchelewesha kufikia malengo yako na focus kwenye vipaumbele vyako, andaa jedwali la yote unayotaka kutimiza sasa na ikifika mwakani tarehe kama ya leo utoe remarks kwanini hukukamilisha na ni kwa kiwango gani hukukamilisha!
Jamani leo ni birthday yangu
Nimetimiza miaka 30 lakini sina mbele wala nyumaa
Vyuma vimekaza hadi sasa sina mbele wala nyuma
Naombeni ushaurii
Happy birthday,bado sana mdongo wangu vitaachia tu,kumbuka umri wako ile umfikie Robert Mugabe inatakiwa upite hizo 30 mara mbili zaidi kwahiyo usife moyo muda bado sana..Jamani leo ni birthday yangu
Nimetimiza miaka 30 lakini sina mbele wala nyumaa
Vyuma vimekaza hadi sasa sina mbele wala nyuma
Naombeni ushaurii
na ahame manzese, ahamie kivule au bunjuAcha usela then utatusua
hongera sana!Jamani leo ni birthday yangu
Nimetimiza miaka 30 lakini sina mbele wala nyumaa
Vyuma vimekaza hadi sasa sina mbele wala nyuma
Naombeni ushaurii
Asante sana.hongera sana!
wakati mwingine tunashindwa kufanikiwa kwa kufuata mkumbo na kuwa ndani mwa mipango ya watu tukitaka kufanana na fulani (ambayo sio mbaya) lakini tunashidwa kuwa na mipango mikakati ya kufikia malengo yetu ya kufanana nao sasa yapo mengi lakini kwa leo nianze na machache ninayoamini yatakusaidia.
- kwanza mwaka huu nunua diary najua mwaka jana huku nunua ili uweze kwenda kwa mpango wa maana.
- pamoja kwamba haukuweka malengo kwa mwaka uliopita ( kwa umuhimu wake) lakini kwa sasa ufanye hivyo lakini kabla ya kufanya hivyo tafakari yafuatayo na ikiwezekana yaandike:-
- angalia ni mambo mangapi ulipanga kuyafanya na yalifanikiwa, kama huyakumbuki inamaana hukujipanga vyema hivyo jirekebishe. kama hayakufanikiwa kwasababu gani? je unaweza kuendelea nayo au unapiga chini? changamoto gani zilisababisha usifanikiwe? ulichagua vibaya,mipango ,ibaya au hukujipanga vizuri kutekeleza mipango uliopanga kwaajili ya mafanikio uliotarajia.
- yapi kati uliopanga yalifanikiwa? kwa kiasi gani? nani alichangia kufanikiwa kwako je ulimshukuru kwa mchango wake ili akuone pia huwa unashukuru apate kukufanikisha zaidi (sio kwamba watu wanapenda sifa hapana ila inamtia moyo kuwa kile alichokifanya kwako kimefanikiwa na kwa kufanya hivyo kunaweza kuongeza fursa kwako kwa msaada zaidi lakini pia kufungua milango kwa wengine kwakuwa atahitaji kupima nani anafanya vizuri). hii ni pamoja mawazo ,fedha na vifaa mbali mbali.
- ni vitu gani havikuwepo kwenye mpango naukafanikiwa kuwa navyo? wengi tunafikiri kila tunachopata tuna haki nacho hapana sio kweli na wengi hawaamini miujiza ya MWENYEZI MUNGU katika vitu vidogo ila mpaka hivyo vitu viwe vikubwa na viendane na mpango wao. kumbe tunatakiwa kuviona na kumshukuru MUNGU kwa kuwa haikuwa haki yetu.
- mshukuru MUNGU kwa siku yako ya kuzaliwa na kila jema alilokutendea kwakuwa haukustahili kwa kuwa wewe ni mtu dhaifu na unamapunguvu mengi mbele yake pia omba msamaha kwa kadri ya imani yako (jinsi ambavyo unaamini kuwa MUNGU anaweza kusikia majuto yako) kisha omba MUNGU akuwezeshe ili uendelee kufanikiwa.
- usikubali kujilinganisha na wengine na hasa waliokata tamaa (usemi wa vyuma vimekaza lakini lazima uuone kama fursa kwa kuwa havijasagika na vinahitaji grease ili virudie hali yake hivyo tafuta hivyo grease kabla havijasagika) inamaana tafuta njia mbadala halali zitakazokuwezesha kufikia unapotaka.
- mfano kama unasafari muhimu na njia unayopita ukakuta imezibwa hautatafuta njia nyingine ya kufanikisha malengo yako? kisa eti wameziba njia? najua katika umri wako kuna mabinti uliwapenda na haukuwa na kitu lakini uliwapata sasa haikufanyika kwa bhati mbaya ongeza akili kidogo kwa kutumia akili na juhudi kama hizo kufanikisha mipango yako.
- kumbuka kwenye nia pana njia wengi wanamdharau Makonda lakini kunaeneo anasimama nalo na anapiga bao ya yake yanakwenda japo ukweli inaweza kuwa mipango yake sio ya muda mrefu lakini anachojitahidi ni kujibu maswali ya watu wa kawaida ambao ni wengi na yeye kuonekana bora.anajielewa kuwa kweli yeye shule yake inautata na huenda vyeti kweli haviko sawa lakini anachojitahidi ni kutumia maarifa yake yote ili kuendelea kufanikiwa na kumfurahisha bosss wake na kwa hili amefanikiwa. nataka kusema nini bado unauanja mpana sana wa mafanikio hivyo jipange.
- ulichonacho ndicho kitakachokufanikisha na MUNGU anauwezo wa kukusimamia kwa kile unachoamini kuwa kinawza kukusaidia mfano unaposoma kutoka 4:1-2 utaona ni kwa jinsi gani MUNGU anamuwezesha Musa kuwatoa waisrael kwa kupitia fimbo tu na safari ya kuondoka misri inaanza ukiweza soma kwa taratibu kutoka sura ya nne mpaka 11 itakujenga kiuwezo hata kamawewe ni mwislamu kwa leo kasome itakupa maarifa makubwa. pia tuna mwona Daudi akimshinda Goliathi kwa mawe matano laini ukiweza soma 1Samweli 17:37-51 sasa wewe unao uwezo zaidi ya mawe matano kwa kuwa umesoma chekechea,umesoma shule ya msingi, sekondari ,umeishi mjini ,unamarafiki wengi, unauwezo wa kutumia tekinolojia na mengi hayo ni zaidi na mawe matano.
- naweza kukueleza mengi sana lakini naogopa unaweza ukashidwa kuyasoma yote lakin wacha nikuage na mistari michache ila kabla sijaitoa kumbuka kujitafakari kabla hujaamua katika kila fursa inayotokea kwako kuwa unaweza nini? nini huwezi na ufanye nini uweze kuweza? (swot analysis).
- jiamini achana na kujidharau na kujiona huwezi kitu jiamini kwa kuwa umebeba kusudi kubwa la MUNGU na wewe umefanyika lango kwa wengine waweze kufanikiwa na nafasi yako naiona hata kwa sasa ninapokushauri haya wapo wengi ufahamu wao utafungua na ipo siku watarudi na shuhuda lakini ni kwa sababu yako ya wewe kueleza ulivyo. hivyo wewe ni mtu mkubwa sana usiogope tupo duniani kuwezeshana na wewe ni mmoja ya wawezeshaji sisimama katika zamu yako utaona utakavyofanikiwa.
- kutoka23:20-32, joshua 1:3,5,9 kumb 28:1-14, isaya43:1-6,luka10:19 kwa leo inatosha ila kumbuka kutoa sehemu ulichonacho kutoa sadaka hata ikiwa ni sehemu ya muda wako katika kuitumikia jamii na kuwasaidia maskini ikiwa ni pamoja na mawazo kwa kuwa umefanywa kuwa kinara na kamwe hautasitirika kwa kuw uko mlimani mathayo 5:13-16