Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Nitafurahi sana kukuona mjukuu, na hivi imepita miaka mingi lazima nitakuchinjia jogoo siku hiyo 😉Nitakutembelea Babu,
Zimefika mjukuu, usisahau kutuletea kiko tu 😜Msalimie bibi 🤣
Nitafurahi sana kukuona mjukuu, na hivi imepita miaka mingi lazima nitakuchinjia jogoo siku hiyo 😉Nitakutembelea Babu,
Zimefika mjukuu, usisahau kutuletea kiko tu 😜Msalimie bibi 🤣
Asante sana, Mawazo yako natahitaji, watu kama nyie mbarikiweHongera Dada ila fanyia Kazi huu Ushauri wangu Kuntu. Ukipokea tu Mshahara wako wa Kwanza kama una Wazazi wako wape kidogo na jitahidi (uwezo ukiwepo) mtafute Mtoto Yatima mmoja au nenda Wodi ya Wazazi katika Hospitali yoyote ile kisha omba kuonana na Mzazi aliyezaa ila ana upungufu wa Chakula au Dawa na msaidie kwa ulichonacho.
Nina uhakika wa 100% kwa yatakayokutokea baada ya kufanya haya ya muhimu niliyokueleza hapa utakuja Kunishukuru GENTAMYCINE hapa JamiiForums.
Nimekupa Code muhimu ya Kubarikiwa haraka sana na Mwenyezi Mungu pasipo hata sijui kwenda kwa Mganga na Kujiganga.
Kila la Kheri.
Za ndaaani nasikia huyo mtu ni wewe, umeamua kujibariki bro.Mungu akubariki na ambariki pia aliyekupa connection bila "malipo"
AsanteeAfadhali umepata kazi maana thread zako nyingi nilikua nazichukia,
Kila la kheri mkuu nakuhusia tu umheshimu sana boss.
Yaani huyu mshana awe Mimi ,au sijaelewa? NielewesheZa ndaaani nasikia huyo mtu ni wewe, umeamua kujibariki bro.
Amina sana Dada yangu na Hongera.Asante sana, Mawazo yako natahitaji, watu kama nyie mbarikiwe
AsanteAmina sana Dada yangu na Hongera.
Dah! Hii mbona km diss 😹Mere mauzo hawa u
Unatoa connection za kazi bure afu sisi unatuomba nonino classmate 😹😹Asante sana, tubarikiwe some mwali..🤨
🙏All the best Marry D !
Mkuu mbona umehitimisha hapa bila kupata maelezo ya mhusika mwenyew, ni kweli amepata kazi bila "Malipo??Mungu akubariki na ambariki pia aliyekupa connection bila "malipo"
Kwann unauliza hivoNi wewe ndio umepata kazi au hiyo kazi ndio imepata kazi kwako?
Kifupi kazi imepata kazi.Ni wewe ndio umepata kazi au hiyo kazi ndio imepata kazi kwako?