AsanteTake care sana hapo kazini, fanya kazi rudi nyumbani. Kazini hakuna rafiki mind this.
Marry Diana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kichwa chako ni Mali yako,
Una haki ya kuwaza uwazacho,
Siwezi kukupinga.
I'm Marry Diana precious girl
Kazini Kuna marafikiTake care sana hapo kazini, fanya kazi rudi nyumbani. Kazini hakuna rafiki mind this.
ChaiShikamoon wakubwa zangu wadogo zangu hamjambo?
Jamani kumekucha,ni siku nzuri ya jumatatu nafurahia mazingira nikiwa kazini,kuwa na kazi kuna unafuu na Raha fulani,yaani unaamka unajua naenda wapi,kufanya nini ni vizuri sana.
Ni wiki chache nyuma sikuwa na lolote la kufanya ,niliwaza kufanya hata biashara ndogo ndogo lakini Kwa msaada na Mawazo ya watu wa Mungu wenye mioyo Safi walinishauri vizuri na wapo walioniunganisha na watu hata kufikia kuwa kazini Leo hii kweli Dunia bado ina watu wenye ubinadamu.
Moyo wa kujali na kutambua Thamani halisi ya ubinadamu
Watu wa jamiiforum mbarikiwe kwakweli ,most of them mnatambua Thamani ya mwanamke,japo kuna kikundi cha watu wachache,eti hawezi kukupa msaada mpaka ulale naye na vijiahadi vyenu vya pesa ndogondogo,yaani unanitajia pesa ambayo mama yangu ananipa muda na saa yoyote nikitaka.
Tusitumie nafasi ya udhaifu wa mtu kutimiza matakwa yetu mabaya pamoja na kudhalilisha na kutweza utu wa mtu.
Siwezi kujiuza na kuwa Mtumwa wa dhambi aslani
Malipo ni Siri malipo ni hapa hapa Duniani, mere afanye kaziMungu akubariki na ambariki pia aliyekupa connection bila "malipo"
[emoji23][emoji23][emoji23]Za ndaaani nasikia huyo mtu ni wewe, umeamua kujibariki bro.
[emoji23][emoji23][emoji23]Unatoa connection za kazi bure afu sisi unatuomba nonino classmate [emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ajira portal upo? [emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kazi kweli au mauzauza mana jf hii ina mauza uza balaa. Picha linaanza mm sijawah kuonana na mtu wa maana hum zaidi ya ushimeni.
Kuna mwana jf hum alipataga kazi akapelekwa kwenye kisanga cha hesabu. Hii unajumlisha ile unatoa, ile ukitoa ile! Mara inakuja negative maana yake mwisho wa mwez wewe mfanyakaz ndo unadaiwa [emoji28]
HakikaJf ina kila aina ya watu,wema kwa waovu ni wewe tu unawatumiaje!