Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Mm n jobless, Siwez kukosekana ajira portal 😎Ajira portal upo? 😹

alooo kwahiyo nipo kwenye list yako au ya nani?🤔 eh wamalizie hao wawili tuone😅
win-one leo leo nakutajia.alooo kwahiyo nipo kwenye list yako au ya nani?🤔 eh wamalizie hao wawili tuone😅
usichelewe sana kunambia sasa mi nina tatizo la kusahau😅😅win-one leo leo nakutajia.
Alaf Ww ushawahiwa . Nikiandika waraka ntakuwa najiaibisha tu bure. 😎😎😎😎.
Na waraka utakaoandikiwa unatakiwa uwe wa kibunifu kidogo. Au unasemaje ? 😂😂😂😂
nimewahiwa na nani? kwenye nini we jaribu bahati yako kidole changu hakina ring🙃😎
kama unataka uniandikie mimi waraka bora uache maana kwangu hamna kitu👌👌, nitakutafutia wako
nilisema wapi?😅😅Yaan umenipuliza alaf ukaningata . Alaf ukanipuliza tena. Dah.
Kwako hamn kitu gan?.
Ww si ulisema ni black beuty.
Vizuri SanaShikamoon wakubwa zangu wadogo zangu hamjambo?
Jamani kumekucha,ni siku nzuri ya jumatatu nafurahia mazingira nikiwa kazini,kuwa na kazi kuna unafuu na Raha fulani,yaani unaamka unajua naenda wapi,kufanya nini ni vizuri sana.
Ni wiki chache nyuma sikuwa na lolote la kufanya ,niliwaza kufanya hata biashara ndogo ndogo lakini Kwa msaada na Mawazo ya watu wa Mungu wenye mioyo Safi walinishauri vizuri na wapo walioniunganisha na watu hata kufikia kuwa kazini Leo hii kweli Dunia bado ina watu wenye ubinadamu.
Moyo wa kujali na kutambua Thamani halisi ya ubinadamu
Watu wa jamiiforum mbarikiwe kwakweli ,most of them mnatambua Thamani ya mwanamke,japo kuna kikundi cha watu wachache,eti hawezi kukupa msaada mpaka ulale naye na vijiahadi vyenu vya pesa ndogondogo,yaani unanitajia pesa ambayo mama yangu ananipa muda na saa yoyote nikitaka.
Tusitumie nafasi ya udhaifu wa mtu kutimiza matakwa yetu mabaya pamoja na kudhalilisha na kutweza utu wa mtu.
Siwezi kujiuza na kuwa Mtumwa wa dhambi aslani
Safi sana Mzee wa connection.Asante sana, tubarikiwe some mwali..🤨
Njoo pm..😋Unatoa connection za kazi bure afu sisi unatuomba nonino classmate 😹😹
Marry Diana hongera kwa kuhakikisha kuwa*hujatoa rushwa*Shikamoon wakubwa zangu wadogo zangu hamjambo?
Jamani kumekucha,ni siku nzuri ya jumatatu nafurahia mazingira nikiwa kazini,kuwa na kazi kuna unafuu na Raha fulani,yaani unaamka unajua naenda wapi,kufanya nini ni vizuri sana.
Ni wiki chache nyuma sikuwa na lolote la kufanya ,niliwaza kufanya hata biashara ndogo ndogo lakini Kwa msaada na Mawazo ya watu wa Mungu wenye mioyo Safi walinishauri vizuri na wapo walioniunganisha na watu hata kufikia kuwa kazini Leo hii kweli Dunia bado ina watu wenye ubinadamu.
Moyo wa kujali na kutambua Thamani halisi ya ubinadamu
Watu wa jamiiforum mbarikiwe kwakweli ,most of them mnatambua Thamani ya mwanamke,japo kuna kikundi cha watu wachache,eti hawezi kukupa msaada mpaka ulale naye na vijiahadi vyenu vya pesa ndogondogo,yaani unanitajia pesa ambayo mama yangu ananipa muda na saa yoyote nikitaka.
Tusitumie nafasi ya udhaifu wa mtu kutimiza matakwa yetu mabaya pamoja na kudhalilisha na kutweza utu wa mtu.
Siwezi kujiuza na kuwa Mtumwa wa dhambi aslani
😂japo kuna kikundi cha watu wachache,eti hawezi kukupa msaada mpaka ulale naye na vijiahadi vyenu vya pesa ndogondogo,yaani unanitajia pesa ambayo mama yangu ananipa muda na saa yoyote nikitaka.
Jamani kazi yenyewe nimeanza Leo tayari naombwa hela🤣Naomba buku mdogo wangu ninunue umeme, sisi mjobless hali bado mbaya Marry Diana
Pacha usi ulize we pigia mstariDah! Hii mbona km diss 😹
Kuwa makini wa mibaba ya JF, wanatutongoza hata sisi wazee.Shikamoon wakubwa zangu wadogo zangu hamjambo?