Hatimaye nipo kazini. Shukrani kwa WanaJamiiforums kwa mawazo na ushauri wenu

Kuna watu wataenda kupigwa kupitia huu uzi. A is equal to B and Be is equal to B. AB haina tofauti na BA. Kimahesabu.

So kama A= 5
B= 2

Hivyo AB sawa na 5x2 na pia
BA ni 2x5

Tafuta jibu la AB na BA.
 
alooo kwahiyo nipo kwenye list yako au ya nani?๐Ÿค” eh wamalizie hao wawili tuone๐Ÿ˜…
win-one leo leo nakutajia.

Alaf Ww ushawahiwa . Nikiandika waraka ntakuwa najiaibisha tu bure. ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž.

Na waraka utakaoandikiwa unatakiwa uwe wa kibunifu kidogo. Au unasemaje ? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
usichelewe sana kunambia sasa mi nina tatizo la kusahau๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

nimewahiwa na nani? kwenye nini we jaribu bahati yako kidole changu hakina ring๐Ÿ™ƒ๐Ÿ˜Ž

kama unataka uniandikie mimi waraka bora uache maana kwangu hamna kitu๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ, nitakutafutia wako
 
nimewahiwa na nani? kwenye nini we jaribu bahati yako kidole changu hakina ring๐Ÿ™ƒ๐Ÿ˜Ž

kama unataka uniandikie mimi waraka bora uache maana kwangu hamna kitu๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ, nitakutafutia wako

Yaan umenipuliza alaf ukaningata . Alaf ukanipuliza tena. Dah.

Kwako hamn kitu gan?.
Ww si ulisema ni black beuty.
 
Vizuri Sana
 
Marry Diana hongera kwa kuhakikisha kuwa*hujatoa rushwa*
 
Hata hivyo ukiamua mwenyewe kurudisha shukurani kwa kumtunuku hata mmoja, hato kataa

Kazi njema
 
Kuwa makini wa mibaba ya JF, wanatutongoza hata sisi wazee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ