Hatimaye nipo kazini. Shukrani kwa WanaJamiiforums kwa mawazo na ushauri wenu

Take care sana hapo kazini, fanya kazi rudi nyumbani. Kazini hakuna rafiki mind this.
 
Ukipata mshahara unirushie buku ninunue bando🥶🥶🥶
 
Chai
 
Kazi kweli au mauzauza mana jf hii ina mauza uza balaa. Picha linaanza mm sijawah kuonana na mtu wa maana hum zaidi ya ushimeni.

Kuna mwana jf hum alipataga kazi akapelekwa kwenye kisanga cha hesabu. Hii unajumlisha ile unatoa, ile ukitoa ile! Mara inakuja negative maana yake mwisho wa mwez wewe mfanyakaz ndo unadaiwa 😅
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Punguza ujuaji hapo kazini, usijifanye unajua kila kitu. Tambua kuwa zamani hukuwa na chochote, hivyo kuwa mnyenyekevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…