Hatimaye Pengo la Mzee Mengi lazibwa, Hongera Waziri Makamba

KIPARA ni Tapeli sana
 
Msijidanganye. Siyo kiwanda cha kutengeneza simu bali kufunga tu - assembly plant - wakati kila kitu kinatoka nje
 
"Itakuwaje siku akitutoka ndugu Mengi, ni nani ataziba pengo la huyu kipenzi cha wengi?" -Pengo by Waswahili by nature.
 
Sio makamba alianza Jk kuwa angeleta kiwanda cha kutengeneza pikipiki aina ya Honda mpaka leo hata upembuzi yakinifu na usanifu wa kina hatusikii.
 
Napata wasiwasi na hizi pongezi!
 
Nimefungua haraka haraka nikidhani Makamba amerithi mbunye kumbe ni urithi feki. Mkuu mtoa mada umenikosea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…