tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Wala usiumize kichwa mkuu. Hakuna kitu kama hicho.Wabongo na shobo za aifoni
Je mtanunua simu made from Tanzania???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala usiumize kichwa mkuu. Hakuna kitu kama hicho.Wabongo na shobo za aifoni
Je mtanunua simu made from Tanzania???
Total rubbish, hatuwezi kuzalisha mahindi, sukari, mafuta ya kutosha, tutaweza kutengeneza simu?Kabla ya kukutwa na Umauti , Mzee Reginald Mengi alikuwa na mpango wa kujenga kiwanda cha kutengeneza Simu za Kisasa zinazoitwa Smartphone .
Mpango huo ulipotea baada ya Mzee huyo kufariki Dunia .
Sasa leo Waziri wa mambo ya kigeni January Makamba amewaleta Wahindi ili kuziba Pengo hilo.
---
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema Tanzania inauza zaidi mazao ya kilimo nchini India huku wao wakiuza zaidi nchini dawa na vifaa vya viwandani.
View attachment 2772819
Tangia huyu bwana anunue software ya kutrack tatizo LA umeme kwa wahindi kwa 75 bilioni.Kabla ya kukutwa na Umauti , Mzee Reginald Mengi alikuwa na mpango wa kujenga kiwanda cha kutengeneza Simu za Kisasa zinazoitwa Smartphone .