Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amkumbuka Ridhiwani Kikwete baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu

Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amkumbuka Ridhiwani Kikwete baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu

Samia ni mtumbuaji tu wa pesa. Hivyo vifaa vimenunuliwa na pesa za wananchi na sio za samia
 
Hii dunia hii, yaani watu wanafurahia kuletewa jokofu la kuhifadhia maiti..mh
Unafurahia mashine ya mionzi! Ina maana duniani hakuna teknolojia nyingine ya kuangalia mifupa hadi mionzi!
Nawaonea huruma sana watu wote ambao mmepitia kwenye mashine za CTScan au MRI yaani unachomwa cell zako zote za mwili...au huambiwi unazirudishaje cell hai mpya!!
Mkuu kwani wewe ukiumia njia gani?

Kama
X-Ray hutaki
CT scan hutaki,
MRI hutaki,
 
Hizi promo si bure
Ni zaidi ya promo. Kikwete ndiye anaye endesha nchi kwa sasa. Angalia mfumo wa uongozi wa mama, safari za nje, suala la machinga, urudishaji wa team Kikwete na mengineyo. Huyo dogo anakula uwaziri siku si nyingi. Kilangila.
 
Duh!

Hivi kweli hata wenzetu waliopata maendeleo zaidi yetu wanafanyaga haya kweli? huwa najiuliza sana hili swali
 
Nawasalimu kwa Jina la JMT,


Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi yake kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya Shilingi Milioni 480 ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu na vifaa mbalimbali.

Mhe Ridhiwani Kikwete mbunge wa Jimbo la Chalinze ameishukuru serikali na Rais kwa kutekeleza ahadi hii ndani ya muda wa wiki tatu toka kutolewa kwa ahadi hiyo,

Wananchi wa Kata hiyo wakiongozwa na wakina mama ambao walikuwa wakipokea vifaa hivyo wameshangilia huku wazee wakimuombea Mungu amlinde Rais wa Nchi yetu mama Samia Suluhu Hassan,

Ridhiwani Kikwete ni miongoni mwavijana very humble down the earth mwenye bashasha na furaha kwa Watanzaia wote wakati wote iwe anakujua au hakujui hakika ni mtu mzuri sana|Hongera wanachalinze,

Je? Tutarajie siku moja kijana huyu kukamilisha msemo wa kiingereza unaosema " Like father like Son "?


#Kazi iendelee

View attachment 1959269

View attachment 1959270

View attachment 1959273

View attachment 1959274
Kazi Iendelee

#Siempre Chifu Hangaya👍🤝😍🤲
 
Ni zaidi ya promo. Kikwete ndiye anaye endesha nchi kwa sasa. Angalia mfumo wa uongozi wa mama, safari za nje, suala la machinga, urudishaji wa team Kikwete na mengineyo. Huyo dogo anakula uwaziri siku si nyingi. Kilangila.

Chadema huu mwaka hakuna rangi hamtaacha kuiona,

Speed ya mama ni babu kubwa,

HAYUPO KAMA SAMIA
 
mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu na vifaa mbalimbali.
waziangalia kweli kweli wasije wasiojulikana wakachomoa spea - maana zina soko ni balaaa!!
 
Huwa namuona huyu junior kikwete Kwa sura mbili kubwa.
1) kwa habari ya utu wema na ubinadamu he is fine and he is surely down to earth. Hapa ndo nathibitisha like a father like a son.

2)Tatizo lake ni kukosa siasa zenye mantic na uzalendo kama ninavyoona kwa wengi ndani ya CCM. Sasa huwa sielewi wakati mwingi, au ndo political heritage.
"Like father like son" - drop those a.. before father and son.
 
Mbona inasemwa huyu jamaa ni bilionea mkubwa sana. Alishindwa kutoa yeye hizo fedha kugharamia yote hayo?
 
Back
Top Bottom