Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amkumbuka Ridhiwani Kikwete baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu

Samia ni mtumbuaji tu wa pesa. Hivyo vifaa vimenunuliwa na pesa za wananchi na sio za samia
 
Mkuu kwani wewe ukiumia njia gani?

Kama
X-Ray hutaki
CT scan hutaki,
MRI hutaki,
 
Hizi promo si bure
Ni zaidi ya promo. Kikwete ndiye anaye endesha nchi kwa sasa. Angalia mfumo wa uongozi wa mama, safari za nje, suala la machinga, urudishaji wa team Kikwete na mengineyo. Huyo dogo anakula uwaziri siku si nyingi. Kilangila.
 
Duh!

Hivi kweli hata wenzetu waliopata maendeleo zaidi yetu wanafanyaga haya kweli? huwa najiuliza sana hili swali
 
Kazi Iendelee

#Siempre Chifu Hangaya👍🤝😍🤲
 
Ni zaidi ya promo. Kikwete ndiye anaye endesha nchi kwa sasa. Angalia mfumo wa uongozi wa mama, safari za nje, suala la machinga, urudishaji wa team Kikwete na mengineyo. Huyo dogo anakula uwaziri siku si nyingi. Kilangila.

Chadema huu mwaka hakuna rangi hamtaacha kuiona,

Speed ya mama ni babu kubwa,

HAYUPO KAMA SAMIA
 
mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu na vifaa mbalimbali.
waziangalia kweli kweli wasije wasiojulikana wakachomoa spea - maana zina soko ni balaaa!!
 
"Like father like son" - drop those a.. before father and son.
 
Mbona inasemwa huyu jamaa ni bilionea mkubwa sana. Alishindwa kutoa yeye hizo fedha kugharamia yote hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…