Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amkumbuka Ridhiwani Kikwete baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu

1. hawana barakoa; je zinatumika kwa nyakati tu?

2. siyo kazi ya rais kugawa vifaa vya hospitali, labda kama serikali yake ni ndogo kiasi hicho

3. siyo kazi ya mbunge kupokea vifaa vinavyotolewa na serikali katika jimbo lake; anaweza kuwa mtazamaji lakini siyo mpokeaji.
 
Mungu wa Mbinguni asaidie kura za 2025 zisije zikawa kura za mwitikio wa chanjo covid -19.
 
Wewe ndiwe Riziwani mwenyewe. Usjali mkuu Next week tunakutunuku uwaziri wa madini. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Yaani baba yake Ubunge miaka sijui 20,huyu naye sijui kumi.yaani walishindwa kuleta x-ray machine?
Watu wa Pwani hawafai uongozi,wanachoweza ni mdundiko tu na kazi ya kitandani.
 
Ndugu zangu, hii hali ya kupenda kusema hiki katoa Rais sio sahihi. Rais anasimamia serikali, ndiyo inayowajibika. Siamini kama anaridhishwa na hizi lugha za kusifia. Sio nzuri sana. Turejee kwenye mstari kwa kusema Serikali imefanya hiki, Imefanya kile.
 
Hawa waTanzania kweli hawana habari na Corona!
Kuna kitu hakiko sawa mahala fulani.
 
"Je? Tutarajie siku moja kijana huyu kukamilisha msemo wa kiingereza unaosema " Like father like Son "?

Kwani yeye, babaake, mamaake na nduguze hawawezi Ku RIP kabla hayo hayajatokea?
 
Hongera sana Rais Samia,

Hongera sana Mbunge Ridhiwani Kikwete

Halafu amwambie mpiga picha wake wenye vitambi awe anawapanga nyuma kwani wakiwa mbele wanatia hasira nanni uchochezi wa kuvunja amani yetu
 
Lake oil wanapeleka nini?
 
"Je? Tutarajie siku moja kijana huyu kukamilisha msemo wa kiingereza unaosema " Like father like Son "?

Kwani yeye, babaake, mamaake na nduguze hawawezi Ku RIP kabla hayo hayajatokea?
Ni Ushamba na roho mbaya tu Mkuu ndio inakupa shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…